Ata minakumbuka ivyo maada uyu mdada aliye uwawa alishaanza kutafuta baazi ya watanzania wa ishio Marekani na kuomba msaada wa kulud Tz kwakuwa yule mama wa kizungu alikuwa akimyanyasa na hakutaka kabisa kuishi nae kwakuwa aliisi alikuwa akitembea na mumewe ambae ni mjombaake uyo mdada aliyeuwawa..Hawa ni Wasambaa wa Lushoto Tanga, bado inaaminika kuwa muuwaji halisi alikua ni huyo Mzungu....
Asante sana sana, kwahio Kupaza anatumikia kifungo ambacho sio stahiki tAta minakumbuka ivyo maada uyu mdada aliye uwawa alishaanza kutafuta baazi ya watanzania wa ishio Marekani na kuomba msaada wa kulud Tz kwakuwa yule mama wa kizungu alikuwa akimyanyasa na hakutaka kabisa kuishi nae kwakuwa aliisi alikuwa akitembea na mumewe ambae ni mjombaake uyo mdada aliyeuwawa..
Vijana wengi wa kiume wamekuja kuwa very opportunist aiseeJamaa anapelekwa USA na mzungu halafu ana mwita dada yake wakafaidi halafu anamwacha mzungu anafanya maasi na dada yake [emoji15] Hii kiboko
Adison sio?Ila wamama wa kimarekani hii michezo wanaijua sana[emoji848][emoji848]
Cousin wangu last month kakutwa kafa na bastola pembeni wakasema kajiua na alikuwa na ugomvi na mkewe
Ushahidi wa kimazingira zaidi ulimtia hatiani..Kwa mazingira ya Kesi na ushahidi kwa ujumla Bw.Kupaza asingeweza kuchomoka ,na asilimia 80 zinamtia hatiani kutokana na maelezo yake binafsi
1. Kama alijua mtu aliyekuwa anaishi naye alikuwa amekufa kwanini hakusema ukweli pamoja na kudhihirisha mwili wa marehemu kuwepo, bali alibisha kwamba ameenda Tanzania
2.kwanini alidanganya mahakama kwamba ameongea na wazazi wa mwampashi ilhali hakuwa amefanya hivo
3. Kwanini aliandika awe contact person wake kwenye kazi aliyokuwa ameomba ilhali mtu mwenyewe alikuwa anajua ameshaenda Tanzania
All in all hatujui kwanini alifanya unyama mkubwa wa aina hyo kwa ndugu yake ,
Si Bora kusafirisha shoo..alipigwa kiberitPole kwa kufiwa shoo. Inaumaaa. Nikiwaza na gharama za kusafirisha mwili kutoka huko kuja huku ni balaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Umenichomesha mahindi sana Leo ujueIla wamama wa kimarekani hii michezo wanaijua sana[emoji848][emoji848]
Cousin wangu last month kakutwa kafa na bastola pembeni wakasema kajiua na alikuwa na ugomvi na mkewe
[emoji24][emoji24][emoji24] ruwa mangi. Kwahiyo amezikwa majivu tu?Si Bora kusafirisha shoo..alipigwa kiberit
Pengine alishaambiwa "nakuundia kesi na hutochomoka" au pengine alihusishwa kiaina kwenye mauaji ndo akawa anatafuta namna nzuri ya kujinasua ila ndo vile tenaKwa jinsi nilivyosoma maelezo ya hii habari kutoka kwa mtoa mada hapo juu, maelezo ya peter kushindwa kuchinja hata kuku yanakuwa hayana nguvu kutokana na ushahidi mwingi kumkuta yeye.
Inawezekana yule mama alimtengenezea tukio, lakini peter ndo adanganye dadaake alisharudi tanzania? Atampaje nauli dadaake wakati hata fedha ya mambo ya talaka hakuwa nayo? Pesa ya kukodi gari binafsi? Kazi ya kueleweka kumuingizia kipato cha kutosha hakuwa nayo.
Ni ngumu sana kumtoa peter kwenye hili sakata.
Jamani jamani mazee hebu tuepuke kuamini mojakwamoja hii kitu... pengine alichimbwa biti la kufa kiumbe! (Ukizingatia mji wa watu ule- jamaa akaamua kunywea)Kwanini peter aseme dada yake karudi tanzania,hii kesi nliisoma kitambo peter ushahidi mwingi ulimbana yeye..kwanini aseme aliongea na baba yake mwivano wakati ni uwongo
Hakuna jipya hapa wala usirudiNtarud