Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

Mkuu wanasema alidanganya ili kukwepa mkono wa sheria dada ake visa ilikuwa imeexpire...uwongoo wa wabongo huo umemletea msala
Ila kweli kuna utata, kwa nini yule mzungu aliyekutwa eneo mwili ulipoonekana mara ya kwanza alipotea na haikufanyika juhudi yoyote ya kumtafuta ili ajumuishwe kwenye list ya mashaidi?!! Kilichomponza bw. Kupaza ni kutoa statement za uongo kumhusu dadake.
 
Ushahidi unaonyesha jamaa ni muuaji. Mbaya zaidi anataka kumuangushia jumba Shadrack Msengi wa watu. Mara yupo kwa rafiki zake wakorea.

Miaka arobaini anaanza kutembea na mdogo wake wa miaka 25!. Usikute alianza kumbaka toka yupo Tz.
 
Pole kwa familia ya wasambaa.

Miaka 20 sasa imepita....!

Ukweli wa matukio kabla umauti haujamkuta anujua marehemu.

Najiuliza tuu, kwanini wazazi wa Mwivano hawakutaka mabaki ya mwanao wakamzike Tanzania.
Waikubalije azikwe Marekani..!?

Nahisi wangeomba msaada wa kusafirisha maiti wangepata msaada hata wa kuchangiwa na jamii maana huruma nyingi ilikuwa kwa wazazi.
 
Hii Hii kesi kwa wenyeji wa morogoro na wale wa junio seminary wanaijua vizuri hasa kina Elizabeth mwambashi lusia lema baraka aminieli Frank kilekalile nk
 
Na pia kutoa mimba na ushahid upo
 
Visa kesi yake ni kurudishwa...kwanini unahojiwa kuhusu mauaji halafu udanganye eti kisa visa,haiwezi kuingia hata akilini kwa hakimu wa mahakama ya wilaya huko simiyu
Inawezekana wakati anahojiwa alikuwa haambiwi kama Dada yake kafariki. Alikuwa Kiuulizwa tu kama mtu ambaye anatafutwa ilikujua angejibu nini.
 
Hii Hii kesi kwa wenyeji wa morogoro na wale wa junio seminary wanaijua vizuri hasa kina Elizabeth mwambashi lusia lema baraka aminieli Frank kilekalile nk

Hii
Hii kesi kwa wenyeji wa morogoro na wale wa junio seminary wanaijua vizuri hasa kina Elizabeth mwambashi lusia lema baraka aminieli Frank kilekalile nk
Kwanza ni vitu vingi vimeelezwa kiutofauti na ijulikanavyo.Ila kiukweli uyu mdada alikuwa akiletewa visa vingi sana na uyo mama wa kizungu kabla ya kuuwawa kwake..
 
Ninachojiuliza ni kipi hasa jamaa amuue dada yake ,na alikua anamlamzigo apo sio mara moja inaonekana alimfanya nyumba ndogo,na mimba wakakubaliana wakaitoa,wakaendelea,sasa amchinje kwa sababu ipi?na tena kasoma seminary ,ubongo uko smart kiasi kidogo,atakua vipi mjinga abakize damu chooni alivyo Fanya ukatili huo?utata mtupu
 
Kwanini peter aseme dada yake karudi tanzania,hii kesi nliisoma kitambo peter ushahidi mwingi ulimbana yeye..kwanini aseme aliongea na baba yake mwivano wakati ni uwongo
Tukitoa ushabiki..Peter kaua kweli...

Kwamba hajawahi chinja kuku kijijini..

Halafu adanganye kaongea na wazazi wa marehemu...kumbe uongo..

Alikuwa akimbaka binamu nyama ya hamu.. ...mpaka kugombana na MKE ..wakahama..Kenda fia nyumba nyengine..wapo yeye na kaka yake tu...

Mtalaka alikuja mda gani kuchinja hivyo..

Alama za vidole... ...

Wangemnyonga tu.. ... Huyu atatoka afu aseme katubu kwa Mungu kasamehewa bure... ..
 
Bonge moja ya documentary
 
Jamani kwa ushahidi tu wa kimazingira , huyu ndugu yetu Peter alihusika na hata kama hakuusika vitendo vyake vya nyuma vya kutembea na mdogo wake na kumjaza mimba na kwenda kuitoa. Pia maelezo aliyoyatoa mtuhumiwa na mazingira husika ya tukio jamaa asingewwza kuchomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…