Peter Madeleka achangiwa mil 73 ili kupigania haki ya binti aliyebakwa na Maafande

Watakuja watu hapa kuspin against Madeleka
 
Wahuni wataendankudai kodi kwenye mchango. Dunia ngumu sana hii
 
Madeleka amebuni mradi mzuri ila ni wakili ambae hajawahi kushinda kesi yoyote mahakamani
umeongea ukweli kwa usahahihi na uchungu mwingi sana,

huyo jamaa hashindagi kesi na wala hatashinda hata na hiyo iliyompatia pesa mingi
 
Sijui unaumia ukiwa wapi maana hujachanga hata mia lakini umeumia hadi unatamani uzipore uzichome moto roho mbaya utadhani shetani kaka bila nguo
We ni nyumbu utaendelea kuwa chakula cha mamba
 
Madeleka amebuni mradi mzuri ila ni wakili ambae hajawahi kushinda kesi yoyote mahakamani
Hela za wajinga ni kuzipiga tu, hakuna jinsi yoyote ile!, piga kunywa zako bia baridi.
 
Attachments

  • GW3s2HZW4AAb_qu.jpeg
    64.8 KB · Views: 1
Wamechanga wengine TUNAUMIA WENGINE. Huu nao ni uchawi.
Hyo kesi nataka mpaka wale wabakaji wale mvua.
Kuwa mwanajeshi au askari magereza sio sababu ya kuvunja sheria.
Wao walijiona wajanja sababu ya magwanda yao.mpaka kieleweke
 
Muache kupotosha Wakili Msomi Peter Madeleka yupo sahihi
Kesi hii ni tofauti na Ile ya kina nyundo.. Kwanza tufahamu kuna njia mbili za kufungua kesi za jinai (Criminal cases)

1. Public procecution hizi ni jamhuri inakushitaki na inaendesha kesi kupitia kwa mwendesha mashtaka wa umma ambae ni DPP.
2. Private procecution hizi ni mtu binafsi au taasisi inafungua dhidi ya mtu anashukiwa kutenda kosa la jinai.

KILICHOTOKEA... nikwamba kina nyundo na wenzake wameshitakiwa na Jamhuri kupitia kwa mwendesha mashtaka wa umma na Bibie Fatuma ameshitakiwa na mtu binafsi... Hivyo ni kesi mbili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…