Peter Madeleka achangiwa mil 73 ili kupigania haki ya binti aliyebakwa na Maafande

Yeye anamteteaje wakati ile ni kesi ya jinai na wanaoshitaki ni Jamhuri??

Huyo binti anakua shahidi namba moja.

Mlalamikaji ni Jamhuri.

Huyo hana kazi yoyote atayofanya hapo,

Kazi inafanywa na serikali.
Hapana mkuu. Hujaelewa. Hii ni ya private prosecution hivyo serikali haihusiki hqpo
 
hakuna mtu mwongo kama madeleka, hakuna icho kitu, anajua sana kuchukua watu akili. hata hivyo nampongeza kwa jitihada zake kujifanya kupambana na uovu, ila uhalisia mahakamani hayuko hivyo. only lawyers know this.
 
Huyo Madeleka nae mgumu wa kuelewa somo. Kutetea wanyonge ni wito kwake kila siku tunamwambia humu JF.

Kilichobaki fungua NGO ya ‘legal aid’ maana Tanzania watuhumiwa wengi hawana representation, yeye ajikite na kesi ambazo zina minajili ya uonevu wa serikali.

Kuna source za funds luluki duniani with a good proposal na reputation ya muombaji. Madeleka awezi kosa chini ya tsh 3-5 billion kwa mwaka ya kufanyia shughuli zake za kupigania wanyonge.

Iła ajitoe kwenye siasa za vyama na kujikita kwenye legal aid only.

Wanasikiaga basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…