Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama yakataa kuwaita Jaji Biswalo na Kamishina Anna Makakala

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Ni sababu gani ma-judge walitoa za kukataa hiyo summons ( wito kwa Biswala na Makakala), mtoa mada hebu nyooka na maelezo kuntu
 
Hakuna mahakama hapo ni tawi la CCM
 
Bongo Nchi ya kulindana huko South utasikia Ramaphosa anaitwa Mahakamani huku jaji tuu analindwa..
 
Dah! Nchi na dunia hii!
 
Nilitegemea hilo. Siku hizi kwenye vyombo vya haki yamebaki majengo tuu.
Watoa haki wamekuwa wana siasa.
 
What's next kama amekataa?

Kukataa lazima kuwe na sababu. Je, ni kwa sababu mashitaka siyo halali? Au huyu Biswalo na mwenzake Makakala wana kinga pia ya kisheria ya kutoshitakiwa?

Kwanini hakimu akatae kutoa summons kwa watuhumiwa ili kuja mahakamani kujibu tuhuma na kujitetea juu ya makosa yao?

Kama amekataa, Bwana peter Madeleka a.k.a Muuza Kangala what's next move ili kuhakikisha unapata haki yako?
 
Hao walikua na maagizo kutoka kwa jiwe.

Hivyo wakiguswa bahari itachafuka maana wana msururu mrefu wa watekelezaji wa maagizo hayo.

Dikteta ulikua ukimshinda aidha utapewa kesi ya uhujumu uchumi utakutana Biswalo.

Ukipona sana unakutana na Makakala unaitwa muhamiaji haramu.

Tofauti na hapo ni wasiojulikana au vijana wa Sirro wanakuwekea madawa ya kulevya nyumbani.

Tumetoka mbali sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…