Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x;

Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO CHOCHOTE KILE, mimi PETER MADELEKA, nitafanya WAJIBU huo kwa FEDHA ZANGU. Hatuwezi kuwa taifa la KULINDA WAHALIFU.

Pia soma: Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu

Waliofanya ushetani huo watakamatwa kwa UTARATIBU huu;

1. Huyo Mwanamke AMTAJE huyo MUME wa AFANDE aliyetembea nae
2. Mume wa AFANDE akishajulikana, TUTAMJUA AFANDE.
3. Baada ya hapo, afande ATAWATAJA hao MASHETANI WENZAKE.
4. Halafu MASHETANI wote WAKAMATWE.

Aache sifa kwan si polisi taari wanafatilia masaa 24 awape ye kama nani
 
Ngoja waje watakupatia, ukipewa usisambaze you are making the matter worse.
Bila hiyo video kusambaa binti asingepata watu wakumtetea kupata haki yake, mi naona tusiogope kusambaza taarifa au vitendo vya kihalifu ili Wahalifu nao waogope kufanya uhalifu!!
 
Huyo mwanamke hakufikiria hata kidogo, binti mwenyewe yule unaweza kuta hakuwa anajua kama jamaa kaoa. Hata kama alikuwa anajua, bado mke amefanya uamuzi utakaomgharimu sana tena bila sababu yoyote ya maana.
Na utakutwa na yeye anagongwa kwa kwenda mbele alafu anajifanya anauchungu na mme wake. Kama angekuwa na uchungu na anampenda kweli mme wake mwanaume hawezi kutoka nje ya ndoa. Aache dharau kwenye ndoa yake ataishi kwa furaha, hivo vinyota vyake vitatu aviache huko kambini kwake anapokuja nyumbani.
 
Hakika mkuu, ni kufanya maamuzi kwa hasira labda na jeuri ya cheo.
 
Link haisadii. Serikali ilikuwa haina nia ya kumchukulia hatua. Aliambiwa hana mashtaka ya kujibu.
Jamani kuna mambo mengine si ya kumlaumu DPP,maana DPP hafanyi arrest wala investigation, lawama zenu zipelekeni kwa jeshi la Polisi, maana hao wakiamua kuvuruga ushahidi DPP hawezi shinda kesi Mahakamani hata kama hakimu ni ndg.yake!!
 
Mimi ninayo lakini sioni kama mtu mwenye ubinadamu una sababu ya kuona hiyo video.

Kama ni bint yangu ndio amefanywa hivi basi jela nakwenda mimi kwa murder case.
Wewe mbona umeiona? Sharing is caring mkuu. Hit me on the DM.
 
Na utakutwa na yeye anagongwa kwa kwenda mbele alafu anajifanya anauchungu na mme wake. Kama angekuwa na uchungu na anampenda kweli mme wake mwanaume hawezi kutoka nje ya ndoa. Aache dharau kwenye ndoa yake ataishi kwa furaha, hivo vinyota vyake vitatu aviache huko kambini kwake anapokuja nyumbani.
Umeongea kama vile wewe ndo mume wa huyo afande. ila ni ukweli wanawake ndo wanasababisha wanaume tuchepuke
 
Huyo bado tuu hajaenda kufungua kesi maana masaa 24 yamepita tayari
 
Umeongea kama vile wewe ndo mume wa huyo afande. ila ni ukweli wanawake ndo wanasababisha wanaume tuchepuke
MAMAKO ANATOSHA KUWA MKEWE WEWE UKIWA PAPAI LAKE. Mimi ni mwanume ninayeamini katika mapenzi na ndoa ya kweli sio maigizo ya ndoa. Na mwanamke anayejifanya kuwa Boss Lady nyumbani na kitandani
 
Mzee wa kuruka na trends , anampeleka mahakamani Dpp au hao watuhumiwa?
 
MAMAKO ANATOSHA KUWA MKEWE WEWE UKIWA PAPAI LAKE. Mimi ni mwanume ninayeamini katika mapenzi na ndoa ya kweli sio maigizo ya ndoa. Na mwanamke anayejifanya kuwa Boss Lady nyumbani na kitandani
Sasa mimi kosa langu ni lipi mbona unanijibu hivyo
 
Back
Top Bottom