Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hii Nchi kungekuwa na Taasisi Fulani huru yenye kufanya upepelezi wa matukio mapovu ya majeshi yetu, nadhani jela zingejaa hawa Jamaa, wakiwa na zile uniform wanajiona katika dunia nyingin kabisa......Pumzika kwa Amani Champ.
Huyu dogo na mfahamu sana ..!Ni mtoto wa Mwalimu mstaafu Elias Simbakwiye.Kaka yake ni Afisa Kilimo Tanga Aiseeeee!Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi.
Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
View attachment 2811202
Huyu ni Mtanzania kabisa .Baba yake mzazi alishawahi kuwa Katibu wa CCM wilaya ya Kibondowalikuwa wanajaribu kumu arrest akafa kwenye purukushani ama walim shuti tu barabarani ?
alikuwa mahabusu akafa njaa au natural death ?
alikuwa raia asiye na hatia ama kachero wa Kagame ?
amezikwa kinyemela maana yake nini, kazikwa na nani ? wamekuta maiti shambani ?
ana makaratasi au hana ?
Na unaweza kuta baba yake alipokuwa ccm alifanya ubakaji wa demokrasia na kuonea wapinzani na kuwasababishia ukilema au vifoHuyu ni Mtanzania kabisa .Baba yake mzazi alishawahi kuwa Katibu wa CCM wilaya ya Kibondo
Sasa Madeleka unatetea na wakimbizi? Mtu amekuja nchini kwa njia haramu, huoni kifo chake kuwa ni ahueni kwa Taifa?Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi.
Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
View attachment 2811202
Kigoma irudishwe BurundiSasa Madeleka unatetea na wakimbizi? Mtu amekuja nchini kwa njia haramu, huoni kifo chake kuwa ni ahueni kwa Taifa?
Duh!!!Huyu ni Mtanzania kabisa .Baba yake mzazi alishawahi kuwa Katibu wa CCM wilaya ya Kibondo
Kigoma haikuwahi kuwa sehemu ya Burundi, Kigoma ilipaswa kuwa nchi kamili kama ilivyo Rwanda na Burundi. Kigoma Ina eneo lake linalotambulika, Ina watu ambao ni waha wenye mila zao na tamaduni zao zinazotofautiana kidogo sana na Rwanda na Burundi.Kigoma irudishwe Burundi
Ova
Hamna mtu anabagua Waha. Waha au wakazi wa Kigoma ni raia halali wa nchi kubwa na ya kujivunia ya Tanzania. Changamoto za mipakani zinawakabili pia wakazi wa Namanga, Ileje, Tunduma, Holili, Mtwara au Kagera.Kigoma haikuwahi kuwa sehemu ya Burundi, Kigoma ilipaswa kuwa nchi kamili kama ilivyo Rwanda na Burundi. Kigoma Ina eneo lake linalotambulika, Ina watu ambao ni waha wenye mila zao na tamaduni zao zinazotofautiana kidogo sana na Rwanda na Burundi.
Kigoma ni moja ya mikoa au majimbo yaliyoshirikishwa kikamilifu kuunda Jamuhuri ya Tanganyika. Kukubali kwa Kigoma kuachana na Utawala wake wa kichifu "Mwami" na kukubaliana na Nyerere kuunda Tanganyika na kuuzika ukabila ndio ulioiponza Kigoma ambayo hadi leo watu wake wanatengwa na kubaguliwa ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watu wasiojua historia ya taifa hili ndio wanaoeneza propaganda za kipuuzi kuwa Kigoma irudi Burundi, kwa bahati mbaya sana watu wa aina hiyo ndio walioajiriwa Serikalini "Uhamiaji" na wanaendeleza ubaguzi unaoweza kuligawa taifa.
Inashangaza sana, Rais wetu ana nasaba na waarabu lakini hakuna anaepaaza sauti kuhoji uhalali wake kuwa Rais, lakini muha wa Kigoma kuonekana kwenye eneo lake ndani ya Afrika ni kosa linalostahili kifo ? Hii dhambi ya kubaguana ndani ya JMT itakuja kupata majibu siku za usoni kama haya yanayotokea sasa kule Gaza, kati ya waisrael na wapalestina.
Nikimbizwe na nini nchi hii wakati uasisi wake nimeushudia tangu utoto? ... Umetaja Namanga Tunduma Ileje n.k, kama huko kote ni mipakani kwa nini Kigoma iwe na nongwa?... Inashangaza sana nchi kubwa kama Tanzania watendaji wake wanavyo zihofia Rwanda na Burundi.Hamna mtu anabagua Waha. Waha au wakazi wa Kigoma ni raia halali wa nchi kubwa na ya kujivunia ya Tanzania. Changamoto za mipakani zinawakabili pia wakazi wa Namanga, Ileje, Tunduma, Holili, Mtwara au Kagera.
Usikimbie Tanzania, hakuna nchi nzuri kama Tanzania