Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Ameandika Wakili msomi.
👇

"Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta HAKI ya SATIVA."
1000024349.jpg


Pia soma SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa
 
Sheria ahihitaji utumie hisia 😂😂
Madekela atafungua shauri mahakamani, huo upelelezi anafanya Nani hawa hawa wapelelezi wetu au?

Kwa maelezo ya sativa anadai alipelekwa kituo cha polisi oysterbay baadae Arusha!!
Nini ambacho huelewi hapo mkuu?
 
Ukiona tukio kama hilo limetokea na hakuna aliyekamatwa basi jua kwamba "SIRIKALI" ndiyo iliyohusika.

Yaani mtu hadi kapigiwa simu na rafiki yake kisha akatekwa wameshindwaje kumtight yule alioyempigia simu na kuona connection zote? Haiwezekani kufanya uhalifu bila kuacha traces.
 
Back
Top Bottom