Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Sheria ahihitaji utumie hisia πŸ˜‚πŸ˜‚
Madekela atafungua shauri mahakamani, huo upelelezi anafanya Nani hawa hawa wapelelezi wetu au?

Kwa maelezo ya sativa anadai alipelekwa kituo cha polisi oysterbay baadae Arusha!!
Nini ambacho huelewi hapo mkuu?
 
Ukiona tukio kama hilo limetokea na hakuna aliyekamatwa basi jua kwamba "SIRIKALI" ndiyo iliyohusika.

Yaani mtu hadi kapigiwa simu na rafiki yake kisha akatekwa wameshindwaje kumtight yule alioyempigia simu na kuona connection zote? Haiwezekani kufanya uhalifu bila kuacha traces.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…