Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

Madekela atafungua shauri mahakamani,huo upelelezi anafanya Nani hawa hawa wapelelezi wetu au?
Kwa maelezo ya sativa anadai alipelekwa kituo cha polisi oysterbay baadae Arusha!!
Nini ambacho huelewi hapo mkuu?
Ww unadhani kila upelelezi unafanywa na polisi?

Kama hujui sheria its better ukakaa kimya ili ujifunze.

Sheria inaruhusu Private prosecution if mahakama ikijiridhisha kuwa polisi wana interest na hiyo case
 
Sawa nasubiri kujifunza!
 
Madekela atafungua shauri mahakamani,huo upelelezi anafanya Nani hawa hawa wapelelezi wetu au?
Kwa maelezo ya sativa anadai alipelekwa kituo cha polisi oysterbay baadae Arusha!!
Nini ambacho huelewi hapo mkuu?
Arusha alipelekwa kwa nani na kwanini huko? Natamani sana kujua hapa.
 
Madekela atafungua shauri mahakamani, huo upelelezi anafanya Nani hawa hawa wapelelezi wetu au?

Kwa maelezo ya sativa anadai alipelekwa kituo cha polisi oysterbay baadae Arusha!!
Nini ambacho huelewi hapo mkuu?
Kalakana ya kituo cha polisi OysterbayπŸ€”
 
Kwani Mahakama ndiyo inafanya uchunguzi, naomba kuuliza!!
 
KAMA ALIYETEKWA AMESEMA ALIFIKISHWA POLISI KITUO FULANI, NA MUDA FULANI, WALIOKUWEPO ZAMU SIKU HIYO NI FULANI NA FULANI, SASA HAPO SI WAMESHAPATIKANI, MADELEKA MPENDA KIKI, THIS IS ALITTLE TYPES OF INVESTIGATONS!
 
Sheria ahihitaji utumie hisia πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo Dp yako umeupig pozi kama langu , nikasema huyu mwamba kachukua picha yangu...🀣. Ila pozi langu lilikuwa unyamaaa.. Nice snaps dude
 
Huyu Madeleka muda si mrefu atachanganyikiwa.
 
Hiyo Dp yako umeupig pozi kama langu , nikasema huyu mwamba kachukua picha yangu...🀣. Ila pozi langu lilikuwa unyamaaa.. Nice snaps dude
Aaah hiyo picha imepigwa mbali sana Mkuu... Niliipiga kule Mt. Kilimanjaro karibu na mawingu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…