Pre GE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025.

"Wako watu ambao wanasema, na sidhani kama wako sahihi sana, lakini inawezekana ni nadharia tu ambazo zinapaswa kuthibitishwa vinginevyo na Mbowe mwenyewe na wale wanaomshabikia, kwamba ukitaka ugombane na Mbowe, gombea uenyekiti. Wanaenda mbali wanatoa mifano, 'Mimi binafsi siamini hilo kama linaweza kuwa ni kweli,' alisema Madeleke, akiongeza, Mwangalie Zitto alivyojaribu, nini kilimkuta? Mwangalie Chacha Wangwe, nini kilimkuta? Frederick Sumaye, Cecil Mwambe, nini kilimkuta?"

Your browser is not able to display this video.


Pia, Soma:

Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
 
Mbowe anakuua ukijichanganya kwenye uenyekiti
 
Mada ya Mbowe imebadilisha Sasa mambo ni Babati,kwa Masanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…