Pre GE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

Pre GE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mawakili wengi wamesahau KAZI Yao waliyosomea na wanayotakiwa kuifanya!
Matokeo yake, wamejiingiza kwenye siasa na uwana harakati!
Yanayowakuta sasa....
Kaguswa bwana wenu lazima mpige mayowe,nyumbu wa Mbowe mna shida sana,yaani kwa vile ni wakili hana haki ya kutoa maoni yake.
 
Wewe mccm utawezaje kuchagua mwenyekiti wa Chadema? Hivi nyie maccm mna masilahi gani na Mbowe?
Chadema ni lazima wasimamiwe na chama tawala kwa ajili ya kulinda amani ya nchi.Hakuna namna aisee
 
Mawakili wengi wamesahau KAZI Yao waliyosomea na wanayotakiwa kuifanya!
Matokeo yake, wamejiingiza kwenye siasa na uwana harakati!
Yanayowakuta sasa....
Mawakili nao ni wananchi, na wao wana haki kama walivyo wananchi wengine.
Kuwa wakili hakukuzuii wewe kuongelea siasa au kutoa mawazo yako.
 
Back
Top Bottom