CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kaguswa bwana wenu lazima mpige mayowe,nyumbu wa Mbowe mna shida sana,yaani kwa vile ni wakili hana haki ya kutoa maoni yake.Mawakili wengi wamesahau KAZI Yao waliyosomea na wanayotakiwa kuifanya!
Matokeo yake, wamejiingiza kwenye siasa na uwana harakati!
Yanayowakuta sasa....
Nyumbu wa Sultan Mbowe wanawewesekaWapi imeandikwa Wakili hatakiwi kuwa mwanasiasa?
Wewe mccm utawezaje kuchagua mwenyekiti wa Chadema? Hivi nyie maccm mna masilahi gani na Mbowe?Nisingejitambua,ningemchagua TAL kuwa mwenyekiti wa cgmhadema Taifa!
Tuna msibaWewe mccm utawezaje kuchagua mwenyekiti wa Chadema? Hivi nyie maccm mna masilahi gani na Mbowe?
Chadema ni lazima wasimamiwe na chama tawala kwa ajili ya kulinda amani ya nchi.Hakuna namna aiseeWewe mccm utawezaje kuchagua mwenyekiti wa Chadema? Hivi nyie maccm mna masilahi gani na Mbowe?
Pumba hizi zinapatikana lumumba kwa nguruwe wa kijaniChadema ni lazima wasimamiwe na chama tawala kwa ajili ya kulinda amani ya nchi.Hakuna namna aisee
Hiki chama mnacho UWTNisingejitambua,ningemchagua TAL kuwa mwenyekiti wa cgmhadema Taifa!
Wanamchafua MboweNyumbu wa Sultan Mbowe wanaweweseka
Wanafikiri wanamsaidia kumbe wanamuweka kwenye kilengeoWanamchafua Mbowe
Mawakili nao ni wananchi, na wao wana haki kama walivyo wananchi wengine.Mawakili wengi wamesahau KAZI Yao waliyosomea na wanayotakiwa kuifanya!
Matokeo yake, wamejiingiza kwenye siasa na uwana harakati!
Yanayowakuta sasa....
Yeriko/Ntobi amesoma chuo gani?Wanafikiri wanamsaidia kumbe wanamuweka kwenye kilengeo
KabisaMawakili nao ni wananchi, na wao wana haki kama walivyo wananchi wengine.
Kuwa wakili hakukuzuii wewe kuongelea siasa au kutoa mawazo yako.