Peter Msechu asema hajawahi kuona Watu ' Wanafiki ' na ' Wabinafsi ' duniani kama Watanzania

Ameishi nchi ngapi humu duniani mpaka kufikia hiyo conclusion ?

Ila unafki tumezidi
Mwangalie Mwakyembe alikana thesis

Polepole bunge la katiba oh vyeo vya Dc na Rc vifutwe kateuliwa yeye kuwa Dc kasahau ,leo anasema hatuhitaji katiba mpya

Muone Prof Kabudi akiwa UDSM alisema nini kapewa uwaziri anaenda kinyume

Mwangalie pia Kitila Mkumbo oh Magufuli atamaliza ma Prof kwa kuwateua ,kateuliwa yeye katulia .
 
Wazungu wanene huwa wanaakili sana (refer to Joseph Massino a.k.a Big Joe...acknowledgement to GuDume) lkn sisi Waafrika Mara nyingi watu weusi huwa ni mafala sana (refer to Anil Kimambi,Le Mutuz,Peter Msechu and the like)
Huyu Peter Msechu aliutumia umaarufu wake kuwaongezea kura ccm
Sasa maumivu tunayapata sote,pia RAIA wanataka kum-support lakn wakikumbuka maovu aliyoyatenda wanaona ni vema wamkanyagie chini...tangu Sizonje alipokwapua power kutoka EL mpaka hivi sasa hatujapanda madaraja na wastaafu wanalia kila siku wanataka fedha zao za mafao kumbe zimechotwa na zimwi ccm!
 
Eeh bhana eeh!!!! Umeua mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…