Peter Msechu: "Kwenye familia yetu mimi ndio model", aeleza kwanini anapenda kuwa kibonge

Peter Msechu: "Kwenye familia yetu mimi ndio model", aeleza kwanini anapenda kuwa kibonge

Mtu yeyote anae tetea "obesity " akili
Yake haina akili.

Kuna magonjwa mengi mno yanayoletwa na unene uliopita kiasi. To name a few, high blood pressure, heart attack, diabetes etc.
 
Acha utetezi wa kijinga. Video ile unavyojitahidi kujiviringisha (si Kucheza) inatia huruma, na inachekesha pia. Hapana. Tunaokupenda tunasema unakoelekea siko. Kuwa na nidhamu ya kula. Salaaaale!
 
Back
Top Bottom