afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Jan 22, 2016 #21 Mtu yeyote anae tetea "obesity " akili Yake haina akili. Kuna magonjwa mengi mno yanayoletwa na unene uliopita kiasi. To name a few, high blood pressure, heart attack, diabetes etc.
Mtu yeyote anae tetea "obesity " akili Yake haina akili. Kuna magonjwa mengi mno yanayoletwa na unene uliopita kiasi. To name a few, high blood pressure, heart attack, diabetes etc.
C CREOLE JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 563 Reaction score 336 Jan 22, 2016 #22 Acha utetezi wa kijinga. Video ile unavyojitahidi kujiviringisha (si Kucheza) inatia huruma, na inachekesha pia. Hapana. Tunaokupenda tunasema unakoelekea siko. Kuwa na nidhamu ya kula. Salaaaale!
Acha utetezi wa kijinga. Video ile unavyojitahidi kujiviringisha (si Kucheza) inatia huruma, na inachekesha pia. Hapana. Tunaokupenda tunasema unakoelekea siko. Kuwa na nidhamu ya kula. Salaaaale!