Peter Msechu: Ninatukanwa sana sababu ya unene wangu

Peter Msechu: Ninatukanwa sana sababu ya unene wangu

Yaani yeye anasema alimchana AT kuhusu mwili wake ila anachukia yeye anavyosema juu ya mwili wake

Kazi kweli kweli
 


Hili tumbo hapana..na mara nyingi wenye matumbo makuuubwa Hivi wana viBAMIA
maxresdefault.jpg
 
Aliposhiriki BSS mbona mwili wake haukuwa mkubwa sana?
 
Eti anaupenda mwili wake asitudanganye toka lini watu wanene wakapenda miili yao au anaongea tuu kujipa moyo...mwambieni anitafute nitampatia dawa within 2 weeks awe km diamond
 
Back
Top Bottom