Peter Msechu, ongeza bidii ya mazoezi!!!

chiborie

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
491
Reaction score
345
Naongelea mazoezi ya viungo.

Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia show ya Kill Music Awards ni tofauti kabisa. Umenenepa kupita kiasi. Kitambi kimekua kikubwa da! mpaka umeharibu shape!

Nahisi utakua umeanza programme ya mazoezi, please, ongeza bidii vinginevyo utashindwa kuperform vizuri siku za usoni.

Ni mimi shabiki wako!
 
Atakuwa amesikia, manake asije akashindwa hadi mazoezi ya Kitandani.
 
jamaa kanenepa sana anatakiwa afanye mazoezi tena sana.
 
ww unaweza? ndio wale mnaolala kama gogo kitumbua juu juu

Una uhakika wewe Kilaza Yo Yo?
Muulize baba yako mzazi ndie ananijua vizuri shughuli yangu kitandani.
Mpaka huwa anaomba Poo...na maji ya kunywa katikati ya mechi.
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika wewe Kilaza Yo Yo?
Muulize baba yako mzazi ndie ananijua vizuri shughuli yangu kitandani.
Mpaka huwa anaomba Poo...na maji ya kunywa katikati ya mechi.
mzinzi mkubwa ww unaona sifa sana kuzini......
 
Uchi nimepewa bure, na wewe dhakari umepewa bure.
Tuzitumie zisije eksipaya.
Ila baba yako anakatika utadhani kafungwa mota kiunoni.
Ila nawe fuata nyayo za baba yako,kata kiuno mwanaume wewe.
Wenzio wanakatikia papuchi.
Kalaghabhao.
 
Naongelea mazoezi ya viungo.

Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia show ya Kill Music Awards ni tofauti kabisa. Umenenepa kupita kiasi. Kitambi kimekua kikubwa da! mpaka umeharibu shape!

Nahisi utakua umeanza programme ya mazoezi, please, ongeza bidii vinginevyo utashindwa kuperform vizuri siku za usoni.

Ni mimi shabiki wako!

ungeweka hata picha tumuone wengne hatuja muona
 
Back
Top Bottom