Naongelea mazoezi ya viungo.
Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia show ya Kill Music Awards ni tofauti kabisa. Umenenepa kupita kiasi. Kitambi kimekua kikubwa da! mpaka umeharibu shape!
Nahisi utakua umeanza programme ya mazoezi, please, ongeza bidii vinginevyo utashindwa kuperform vizuri siku za usoni.
Ni mimi shabiki wako!