Naongelea mazoezi ya viungo.
Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia show ya Kill Music Awards ni tofauti kabisa. Umenenepa kupita kiasi. Kitambi kimekua kikubwa da! mpaka umeharibu shape!
Nahisi utakua umeanza programme ya mazoezi, please, ongeza bidii vinginevyo utashindwa kuperform vizuri siku za usoni.
Ni mimi shabiki wako!
ww unaweza? ndio wale mnaolala kama gogo kitumbua juu juuAtakuwa amesikia, manake asije akashindwa hadi mazoezi ya Kitandani.
c anataka kua kama KIDUMU
ww unaweza? ndio wale mnaolala kama gogo kitumbua juu juu
We mtu umefanya nichekeeeee! Kitumbua juju hahahahaaaaaaaaa!ww unaweza? ndio wale mnaolala kama gogo kitumbua juu juu
c anataka kua kama KIDUMU
jamaa kanenepa sana anatakiwa afanye mazoezi tena sana.
ww unaweza? ndio wale mnaolala kama gogo kitumbua juu juu
kidumu mbona kampita mbali......,
karidhika na kajiachia mbaya
mzinzi mkubwa ww unaona sifa sana kuzini......
lol!kitumbua juu juu?madame b ana kitumbua kumbe?kile kitafunwa cha breakfast?
Naongelea mazoezi ya viungo.
Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia show ya Kill Music Awards ni tofauti kabisa. Umenenepa kupita kiasi. Kitambi kimekua kikubwa da! mpaka umeharibu shape!
Nahisi utakua umeanza programme ya mazoezi, please, ongeza bidii vinginevyo utashindwa kuperform vizuri siku za usoni.
Ni mimi shabiki wako!
Atakuwa amesikia, manake asije akashindwa hadi mazoezi ya Kitandani.
c anataka kua kama KIDUMU
ww unaweza? ndio wale mnaolala kama gogo kitumbua juu juu