ukikwama kulia na kushoto unakua lofa mazima aise katika siasa 🐒Nchi zilizoendelea hutamani kuwa na watu wa akili kama ya Lissu, akili ya kusaidia kuandika mikataba, akili ya kuandika Katiba akili ya kurekebisha ubora wa sheria.
Hii akili anaijua Anna Makinda kipindi cha Bunge la Katiba.
View attachment 3604118
uko sahihi 100% gentleman,Mhaini sehemu yake ni jela tu!
Jadili logic sio mtu. Low IQ discuss people.ukikwama kulia na kushoto unakua lofa mazima aise katika siasa 🐒
Njaa haina baunsa.Mbona yeye Msigwa aliiacha hiyo akili ya Lissu akaenda kwa hao wanaoiweka akili ya Lissu gerezani?
Sasa kwanini awashangae hao wanaoiweka akili ya Lissu gerezani?
Huyu kiumbe sijui kama nitakuja kumuelewa tena.
Kiongozi fff anajiona inferior kupambana na genius kama Lissu ndio maana kwenye uchaguzi aliwaambia wahakikishe Lissu hapati nafasi ya kugombea.Si kwa lissu tu, nchi hii ina tabia mbaya za kudharau vipawa na vipaji vya raia wake na haina mpango wa kuvikuza na kuviendeleza. Mtu kama Lissu kuna mataifa wanamtamani angekuwa raia wao angelinufaisha taifa lao
logic ni kwamba aliondoka chadema kwa mbwembwe sana akiwa na viatu vilevile akajiunga CCM, na akaondoka CCM kwa mbwembwe zilezile na viatu vilevile kurejea chadema,Jadili logic sio mtu. Low IQ discuss people.
Ulichoandika ni historia ya mtu sio logic.logic ni kwamba aliondoka chadema kwa mbwembwe sana akiwa na viatu vilevile akajiunga CCM, na akaondoka CCM kwa mbwembwe zilezile na viatu vilevile kurejea chadema,
kaondoka moja, karudi moja,
siasa ni sayansi gentleman 🤣
huyo muungwana ni none impact politician gentleman 🐒Ulichoandika ni historia ya mtu sio logic.
OkayyNchi zilizoendelea hutamani kuwa na watu wa akili kama ya Lissu, akili ya kusaidia kuandika mikataba, akili ya kuandika Katiba akili ya kurekebisha ubora wa sheria.
Hii akili anaijua Anna Makinda kipindi cha Bunge la Katiba.
View attachment 3604118
Zungumzia idea yake sio yeye, nasisi tupuuze unachosema kwa vile huna impact yeyote kwetu.huyo muungwana ni none impact politician gentleman 🐒
Mkuu unabishana na chawa ? Tangu lini chawa akawa na akiliJadili logic sio mtu. Low IQ discuss people.