babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Mnafki kweli huyu anajali tumbo lake tuMbona yeye Msigwa aliiacha hiyo akili ya Lissu akaenda kwa hao wanaoiweka akili ya Lissu gerezani?
Sasa kwanini awashangae hao wanaoiweka akili ya Lissu gerezani?
Huyu kiumbe sijui kama nitakuja kumuelewa tena.
Shida ametuzidi akili wanaccm, hii haikubaliki kulingana na katiba ya CCM.Nchi zilizoendelea hutamani kuwa na watu wa akili kama ya Lissu, akili ya kusaidia kuandika mikataba, akili ya kuandika Katiba akili ya kurekebisha ubora wa sheria.
Hii akili anaijua Anna Makinda kipindi cha Bunge la Katiba.
View attachment 3604118
Unafikir wao ni wajinga wamuache huru azidi kuwapiga spana 🤣🤣🤣 solution kwao ni kumuweka ndan ili wapumue hata kipind cha JPM spana zilikua kali san 🤣🤣🤣Nchi zilizoendelea hutamani kuwa na watu wa akili kama ya Lissu, akili ya kusaidia kuandika mikataba, akili ya kuandika Katiba akili ya kurekebisha ubora wa sheria.
Hii akili anaijua Anna Makinda kipindi cha Bunge la Katiba.
View attachment 3604118
Kwa akili ya samuya ilivyo ndg, salama yake ni lissu kubaki jela tu mkuuKiongozi fff anajiona inferior kupambana na genius kama Lissu ndio maana kwenye uchaguzi aliwaambia wahakikishe Lissu hapati nafasi ya kugombea.
Wakati Msigwa anaondoka mwenyekiti alikuwa Lissu?Mbona yeye Msigwa aliiacha hiyo akili ya Lissu akaenda kwa hao wanaoiweka akili ya Lissu gerezani?
Sasa kwanini awashangae hao wanaoiweka akili ya Lissu gerezani?
Huyu kiumbe sijui kama nitakuja kumuelewa tena.
Akili yako haijatulia. Kama Msigwa yupo Chadema sababu ya mtu na sio itikadi, ndio maana anayumba hovyo.Wakati Msigwa anaondoka mwenyekiti alikuwa Lissu?
Sahii sana ,unazungukwa na wakina bashite ,unatoboa vipiMhaini sehemu yake ni jela tu!
Alisema ile uongozi wa Ayatollah ndio ulikuwa mbovu, mtu anahubiri demokrasia lakini yeye haiishi hapo ni mwenyekiti wa chama je akipewa nchi atakubali kuachia madaraka? Kumbuka hata kile kipindi cha uchaguzi wa viongozi wa kanda Lissu alisema kuna pesa chafu zilikuwa zinatumika kwenye uchaguzi ule ziliratibiwa na nani?Akili yako haijatulia. Kama Msigwa yupo Chadema sababu ya mtu na sio itikadi, ndio maana anayumba hovyo.
Kama uongozi wa Mbowe ulikuwa mbovu, Msigwa alikuwa anasubiri nini Chadema miaka yote?Alisema ile uongozi wa Ayatollah ndio ulikuwa mbovu, mtu anahubiri demokrasia lakini yeye haiishi hapo ni mwenyekiti wa chama je akipewa nchi atakubali kuachia madaraka? Kumbuka hata kile kipindi cha uchaguzi wa viongozi wa kanda Lissu alisema kuna pesa chafu zilikuwa zinatumika kwenye uchaguzi ule ziliratibiwa na nani?
Huko "kushindwa" ndio kulikomtoa maana alishindwa kwa mizengwe (Pesa chafu alizosema mhe. Lissu). Ayatollah alikuwa hataki watu wakosoaji kwenye uongozi wake ndio maana Msigwa na Lema wakawa wahanga, akataka mpaka Lissu atoke just imagine naibu wa Ayatollah ndio angekuwa huyo Wenje ambaye kwa sasa ni mwana CCM, hiyo Chadema ndio ingekuwa pure CCM 'B'.Kama uongozi wa Mbowe ulikuwa mbovu, Msigwa alikuwa anasubiri nini Chadema miaka yote?
Yule ni mnafiki, ameanza kuichukia Chadema baada ya kushindwa na Sugu kanda ya Nyasa, angeshinda asingepiga hizo kelele zake zinazowafanya mumuamini.
Katelw'Engata, kalal'Ofilile!Mhaini sehemu yake ni jela tu!
tanzania aliyoitaka kambonaLissu hastahili kuwa gerezani. Lissu anatakiwa awe nje akichangia mjadala wa aina ya Tanzania tunayoitaka. Mchango wake ni muhimu sana.
Amandla...