Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nassari na Matiko wameshapenyaWewe uliamini Msigwa au malaya yoyote wa kisiasa aliyehamia CCM anaweza kupenya kwenye hizo kura za maoni?
Kifupi, hakuna wa kupenya.
Thubutu.Nassari na Matiko wameshapenya
Ulimpoteza maboya mhanji wa watu Leo unachekea pembeni πππMgajilo ndio huyu Vunjabei wa Jokate?
Yoi will be suprised, ambao wamekuwa hapo kwenye chama kwa muda mrefu hawawezi kubali kirahis, mtu hana hata mwaka anakuja na kuwa mbunge ghafla bin vuuJesca mbona kaachwa mbali Sana Ila Msigwa atapitishwa kwakuwa ana potential kubwa Sana .
Mchungaji Msigwa anajua kabisa nje ya Chadema hata ujumbe wa nyumba 10 hapati πPENDEKEZO.
Kwa kuwa dalili zinaonyesha wazi Msigwa(mbunge wa zamani) na Jesca (mbunge wa sasa)wote watashindwa vibaya, ni muda muafaka kuwashindanisha Msigwa na Jesca kwa kura zao, at least tupate kuona ile battle. Hivyo mleta mada, ulete update ya matokeo kwa kuzingatia battle ya Msigwa vs Jesca ili tupate angalau kicheko.
Anaitwa Fadhil Ngajilo, ni kaka yake Fred, ashawahi kuwa tutorial assistant hapo St John's University Dodoma, ni mtu wa fursa sana, 2015 alikuwa team LowasaMgajilo ndio huyu Vunjabei wa Jokate?
Msigwa anakubalika Sana Iringa Kama sio magufuli kuharibu uchaguzi angekuwa ndo mbunge hapoYoi will be suprised, ambao wamekuwa hapo kwenye chama kwa muda mrefu hawawezi kubali kirahis, mtu hana hata mwaka anakuja na kuwa mbunge ghafla bin vuu
Nilimuonya sana Mchungaji Msigwa tena hapa hapa JF kwamba hawezi kushinda hata meneja wake akiwa Miraji wa Msoga ππUlimpoteza maboya mhanji wa watu Leo unachekea pembeni πππ
MUNGU fundiAlipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..
Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.
Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.
Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?
KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29
KATA YA MSHINDO
MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Kama ni Team Lowassa atashinda mapema tuAnaitwa Fadhil Ngajilo, ni kaka yake Fred, ashawahi kuwa tutorial assistant hapo St John's University Dodoma, ni mtu wa fursa sana, 2015 alikuwa team Lowasa
Unazungumzia nini hapa?Mgajilo ndio huyu Vunjabei wa Jokate?
Nimeshajibiwa bwashee πUnazungumzia nini hapa?