Huyo hakuwahi kushinda, kama juzi tu kashindwa kutoboa kura za wajumbe jiulize alipitaje last time? Ni mbeleko za magufuli ndani ya chama na baadaye akaiba uchaguzi kuwafanya wabunge.Mwita Waitara mbona alipenya Tarine mkuu?
Unajua maana ya habar?Kumbe mnafuatilia siasa za CCM baba lao 😂 😂
Juzi kwenye kura zipi za wajumbe wakati kura wanapiga leo?Huyo hakuwahi kushinda, kama juzi tu kashindwa kutoboa kura za wajumbe jiulize alipitaje last time? Ni mbeleko za magufuli ndani ya chama na baadaye akaiba uchaguzi kuwafanya wabunge.
Mbona yule kishoia nusrat hanje kapiita? Au sielewi. Na bulaya naye si kapita?naudhika balaaWewe uliamini Msigwa au malaya yoyote wa kisiasa aliyehamia CCM anaweza kupenya kwenye hizo kura za maoni?
Kifupi, hakuna wa kupenya.
Watu wanafuatilia hata taarifa za Amber Ruty sembuse za CCM?Kumbe mnafuatilia siasa za CCM baba lao 😂 😂
Hata asipopitishwa, Uteuzi utamhusu.Jesca mbona kaachwa mbali Sana Ila Msigwa atapitishwa kwakuwa ana potential kubwa Sana .
Ulimtanulia paja?Mgajilo ndio huyu Vunjabei wa Jokate?
Wana Watoto Wawili 😄Ulimtanulia paja?
Hibi? Ni Mchingaji wa kanisa gani?Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..
Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.
Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.
Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?
KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29
KATA YA MSHINDO
MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Mpeni ridhaa mpate maendeleoMwarabu wa Kilombero huyo
Msigwa hana akili yule hapo ndipo mwisho wake sana sana akibaki atakuja kugawiwa ukuu wa wilaya au hapana chochote kwakuwa amedhirisha kuwa alichowadanganya wanaccm kwamba ana mtaji wa watu waliokuwa CDM kwamba watamwunga mkono kumbe walikuwa wanamsindikizi kwenye kwenye mnara wa kitanzini kumwangamiza kabisa na hatainuka tena.Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..
Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.
Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.
Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?
KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29
KATA YA MSHINDO
MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Kuna cvd19 mmoja kala matusi huko tarime sjui musomaMalaya fyeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AmekosaJesca mbona kaachwa mbali Sana Ila Msigwa atapitishwa kwakuwa ana potential kubwa Sana .