Peter Msigwa atoke kabla hajawa Kirusi ndani ya CHADEMA

Peter Msigwa atoke kabla hajawa Kirusi ndani ya CHADEMA

[emoji23][emoji23][emoji23]Chadrama wapumbavu sana!

Wao walifikiri adui yao ni Magu!
 
CHADEMA wamekua wajinga, sasa hivi chama kinaendeshwa na martin maranja, mdude na hilda newton hawa ni vilaza waliovamia siasa! nashaanga eti mtu kama martin anamtukana msigwa yaani kuripoti kesi ya mbowe kutoka mahakamani na kuchangiwa zile buku buku na watu ameshajiona ni mkubwa pale Chamani ilihali hafiki hata asilimia moja ya msigwa,

Chama kinauwawa kwa ujinga wa wanaojiita wanaharakati wa Twiter

Watu wa maana wametulia mmebaki na Hilda Newton, mdude na masese akili hamna
yule martini ni mshamba sana
 
Back
Top Bottom