John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
sasa kama mbunge analalamika... Na wa ndo watunga sheria.. Sisi wengine tufanyeje?. Kumbuka mbunge anapewa gari na dereva kwa kodi za wananchi(kukopesha) no difference... But wenyewe wamekuwa watu wa kulalamika so inawezekana hata rais wa nchi mwenyewe analalamika sana tu kama hawa
Pole. Next time kumbuka ku synchronize contacts za simu na contacts kwenye desktop au laptop ni rahisi takes no more than a couple of seconds. Tumia MS outlook mfano.
Kwa nn hakupiga yowe rais atoke kumpa msaada?
unafanyaje hapa kaka?tuelimishe..
sasa kama mbunge analalamika... Na wa ndo watunga sheria.. Sisi wengine tufanyeje?. Kumbuka mbunge anapewa gari na dereva kwa kodi za wananchi(kukopesha) no difference... But wenyewe wamekuwa watu wa kulalamika so inawezekana hata rais wa nchi mwenyewe analalamika sana tu kama hawa
Mbunge unatembea kirahisi hivyo. Hata mguu wa kuku huna tena wakati huu ambao kuna siasa za uhasama mpaka wabuge wanapigwa na Mapanga.Nawashauri wajiweke fiti kimazoezi na watembee na miguu ya kuku
Pole sana kamanda.