Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Chadema ishakuwa kama demu wa buza mtu yeyote ana shika mkono anakula mzigo.
 
Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?

Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Kwani Magufuli alijiandaa ?
 
Wkt magufuri mpk anasema kabsa kuwa alikuwa ana beep mara kweli...sasa kipi cha maana alichokifanya ndani ya miaka 5 ambacho kinamfanya msigwa hawezi fanya???
 
Punguza upimbi ww.. magufuri kaifanyia nn nchi hii hata ww ushindwe kufanya??.
Haaa wewe jamaa ulivyokuja nimecheka sana yani kama ngumi wewe umening'ata pua.
Sawa lakini kipimo ni kuna mambo mengi mno watawala wengine wameshindwa ila Mzee baba Magu kaweza.

"Hivi shuleni mliendaga kusomea ujinga?"
"Upo"!!!,,,by - bi faiza
 
Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?

Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Unanikumbusha wale 30+ waliotunisha suli kutia nia 2015, CCM. SERIOUSLY?
 
Ametangaza nia tu mnaweweseka,,? Je chadema ikichukuwa nchi sindiyo mtaweuka, msigwa ni bora mata 1000 ya jiwe
Mkuu acha mkwara basiii, Yaan msigwa huyuhuyu kweli labda kwà mke wako Hilo sipingi mkuu
 
Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?

Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Maandalizi ya urais yapoje?
 
Nyie mbona huwa mnasukumiza watu? Wacha demokrasia ichukue mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…