NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Chadema ishakuwa kama demu wa buza mtu yeyote ana shika mkono anakula mzigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza upimbi ww.. magufuri kaifanyia nn nchi hii hata ww ushindwe kufanya??.Chadema ishakuwa kama demu wa buza mtu yeyote ana shika mkono anakula mzigo.
Kwani Magufuli alijiandaa ?Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?
Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Haaa wewe jamaa ulivyokuja nimecheka sana yani kama ngumi wewe umening'ata pua.Punguza upimbi ww.. magufuri kaifanyia nn nchi hii hata ww ushindwe kufanya??.
Unanikumbusha wale 30+ waliotunisha suli kutia nia 2015, CCM. SERIOUSLY?Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?
Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Mkuu acha mkwara basiii, Yaan msigwa huyuhuyu kweli labda kwà mke wako Hilo sipingi mkuuAmetangaza nia tu mnaweweseka,,? Je chadema ikichukuwa nchi sindiyo mtaweuka, msigwa ni bora mata 1000 ya jiwe
Maandalizi ya urais yapoje?Inasikitisha sana kuona mtu ambaye hajajiandaa anapoibuka na kujidai kugombea Urais.
Hivi Msigwa upo Serious Kweli na Maisha ya Watanzania?
Hivi Chadema mna watu serious kuruhusu haya?
Hivi tunadhani Urais ni lelemama?
Inamaana CCM ndo inayo wagawia watu ubunge?Namshauri ahamie CCM apate ubunge
kweli demokrasia ndio hiiNyie mbona huwa mnasukumiza watu? Wacha demokrasia ichukue mkondo wake.
Na aliibiwa kura..........Mimi sasa hivi sichukulii tena kila kitu mzaha maana nilishuhudia Kingwendu akigombea ubunge.