OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Msigwa anachotaka ni kuwa viongozi wa dini wasimame madhabahuni na kuanza kuhubiri watu mfano unasimama unaanza kuhubiri kuwa Leo tutaongelea Jinsi sugu alivyotelekeza mkewe aliyezaa naye na tukimaliza tutaongelea kwa kirefu mahusiano ya nje ya ndoa Kati ya Joyce Mukya na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe!!!Tuwaache na vitabu vyao vitukufu
Msigwa anachotaka ni kuwa viongozi wa dini wasimame madhabahuni na kuanza kuhubiri watu mfano unasimama unaanza kuhubiri kuwa Leo tutaongelea Jinsi sugu alivyotelekeza mkewe aliyezaa naye na tukimaliza tutaongelea kwa kirefu mahusiano ya nje ya ndoa Kati ya Joyce Mukya na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe!!!
Sio kwa awamu hii..ukionesha kinyume..umekwisha..
Ole wao wamtumainio mwanadamu na kumfanya kinga yao
Sio kwa awamu hii..ukionesha kinyume..umekwisha..
Ole wao wamtumainio mwanadamu na kumfanya kinga yao
Watu hujipendeza kwa wakuu. Na mafisadi kwa ajili ya. Faida yao[emoji2827][emoji2827][emoji2827]nimesomaSomeni
Yuda 1:16
Watu hujipendeza kwa wakuu. Na mafisadi kwa ajili ya. Faida yao
Sugu ndiye alimsababishia kuwa chizi kwa kumfrustrate alipopata ubunge akamuona zilipendwaSugu unamuonea hajawahi telekeza mke. Faiza sio mwanamke a kusema sugu alimtelekeza,hana heshima,adabu etc alimuaibisha sana sugu na mama yake. Kwa pale sugu hana makosa na bado anamlea mwanae vizuri tu.
Sugu ndiye alimsababishia kuwa chizi kwa kumfrustrate alipopata ubunge akamuona zilipendwa
Usimlaumu nwanamke mental torture ndio ilimfanya awe vile
Wamejifungia wakifanya mazoezi kwa ajili ya Jumatatu ijayo wakizindua kampeni ya miradi ya CCM.View attachment 1537640
Hakika nimemuelewa sana Peter Msigwa. Kuna viongozi wa dini muda wote ni kusifu tu, hata pale yanapotolea mambo ya hovyo hutawasikia wakikemea. Wale wachache wanapokemea wanaitwa wachochezi na wanaingilia siasa.
Waacha unafiki. Wanapopata fursa ya kukutana na viongozi wasifie na kuonya,huo ndio utumishi wa Mungu wa kweli
Kufanya unachotaka ni pamoja na kusema ukweli na kusimamia haki ya jamii pale unapoona haki haitendeki.ila kwako kama mtu kuwaasa viongozi wa dini wakemee maovu na kuwakumbusha watawala umuhimu wa Haki ni unafiki basi utakua ufikiri sawasawa.Ye aliacha madhabahu akafanya anachokitaka..awaache na wenzie wafanye wanachokitaka..akiona wanapwaya aache siasa apande madhabahuni ahubiri kile anachotaka wachungaji wahubiri sababu bado anayo hiyo fursa..kinyume na hapo ni unafiki tu.