sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Hicho sio kufanya unachotaka..hiyo ni kwa mujibu wa matakwa yako weweKufanya unachotaka ni pamoja na kusema ukweli na kusimamia haki ya jamii pale unapoona haki haitendeki.ila kwako kama mtu kuwaasa viongozi wa dini wakemee maovu na kuwakumbusha watawala umuhimu wa Haki ni unafiki basi utakua ufikiri sawasawa.