GE2025 Peter Msigwa: CCM kinaweza kuongoza nchi. Upinzani hawana sera

GE2025 Peter Msigwa: CCM kinaweza kuongoza nchi. Upinzani hawana sera

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mch. Peter Msigwa amewaomba wananchi kukichagua kwani ndicho chama chenye sera za ukombozi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi tofauti na vyama vya upinzani.

Msigwa ameyasema hayo leo Septemba 23 wakati wa mkutano wa kampeni, Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye Jimbo la Njombe Mjini ambapo amebainisha rasilimali watu, falsafa na sera bora kuwa nguzo zinachokifanya kiaminike.

"Vyama vingine havina uwezo huo, visubiri kwanza vikue. Nakumbuka nilipokuwa mdogo Mwl. Nyerere alipita pale Iringa akasema vyama vya upinzani havina sera, nilikuwa sielewi... CCM ina sera zilizo bora," amesema Msigwa.

 
Asipofanya hivyo hali, hana ajira na kuku hawauziki, kanisa waumini hawatoi pesa.
 
Back
Top Bottom