Peter Msigwa: CHADEMA ya sasa ndiyo chama cha upinzani kweli kweli, CHADEMA iliyopita tulikuwa tunapiga fix tu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Na sababu niliziweka bayana. Tulikuwa tunahubiri (preach) demokrasia, tulikuwa tunahubiri haki na usawa, lakini wakati naondoka haya mambo hayakuwa kwenye hiyo nafasi.

Sasa bahati nzuri, nilivyoondoka, wanachama wa Chadema walifanya kweli, ule uongozi wote uliondoka. Wale wote ambao walikuwa wamepata nafasi, walikuwa na nafasi wakati ule, walivyoondoka hatimaye wakaanzisha chama kingine."

Yaani Malaya wa kisiasa waadhibiwe?Samehe Saba mara Sabini(7×70).
Unafikiri huyu akija kushika nyadhifa za juu atakua na uchungu na wanachi au ataanza kulipiza kisasi tu embu vuta picha sasa na urudie kusikiliza hatuba ya nyerer kuhusu wanasiasa wa namna hii
 
Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Na sababu niliziweka bayana. Tulikuwa tunahubiri (preach) demokrasia, tulikuwa tunahubiri haki na usawa, lakini wakati naondoka haya mambo hayakuwa kwenye hiyo nafasi.

Sasa bahati nzuri, nilivyoondoka, wanachama wa Chadema walifanya kweli, ule uongozi wote uliondoka. Wale wote ambao walikuwa wamepata nafasi, walikuwa na nafasi wakati ule, walivyoondoka hatimaye wakaanzisha chama kingine."

He is right. Mbowe alitaka sana kuharibu CHADEMA.
 
Wala huaminiki tena maishani
 
Hahaha tulichelewa Sana kufahamu ukwelli
 
Msigwa anam-pump heche ili asogezwe chumbani afaidi rambi rambi za tone tone!!
 
Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Na sababu niliziweka bayana. Tulikuwa tunahubiri (preach) demokrasia, tulikuwa tunahubiri haki na usawa, lakini wakati naondoka haya mambo hayakuwa kwenye hiyo nafasi.

Sasa bahati nzuri, nilivyoondoka, wanachama wa Chadema walifanya kweli, ule uongozi wote uliondoka. Wale wote ambao walikuwa wamepata nafasi, walikuwa na nafasi wakati ule, walivyoondoka hatimaye wakaanzisha chama kingine."

Msigwa atatuvuruga CDM adhibitiwe.
 
Back
Top Bottom