Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Fika kanisani kwake utayajua yote hata na zaidi ya unayotaka kuyajua.Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.
Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Hana KanisaFika kanisani kwake utayajua yote hata na zaidi ya unayotaka kuyajua.
Duuh kanisa la mateso tenaKanisa la Mateso
Walikuwa wanaabudia pale Cats hotel Jirani na Maktaba ya mkoa
johnthebaptist ni tapeli, atakuuza mchana kweupeee. Ila alichoandika hapo juu kina ukweli.Duuh kanisa la mateso tena
Hahaha......!johnthebaptist ni tapeli, atakuuza mchana kweupeee. Ila alichoandika hapo juu kina ukweli.
Kanisa la kaka yake! DuhHana Kanisa
Awali alihudumu kwenye Kanisa la Rams Mateso
Baadae anahamia Mtwivila kwenye Kanisa la kaka yake
Peter Msigwa hajawahi kuwa na KanisaKanisa la kaka yake! Duh
MCHunga mbwa. Iringa mbwa wanachungwa kama mbuzi na kondoo UsukumaniWakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.
Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Kwani ukiitwa nguruwe au simba shida nini?Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.
Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Hako hua kapo kapo tu kama ka mjusi, mchungaji hayupo hivyoWakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe[emoji23] sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.
Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Ufufuo na UzimaWakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.
Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Maktaba ya mkoa upi?Kanisa la Mateso
Walikuwa wanaabudia pale Cats hotel Jirani na Maktaba ya mkoa
Kanisa lipo wapi?Fika kanisani kwake utayajua yote hata na zaidi ya unayotaka kuyajua.