kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Parokia Ya kigango kitakatifuWakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.
Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?