Peter Msigwa: Nilienda CCM kutokana na Uongozi uliokuwepo CHADEMA ulikuwa unakiuka Misingi ya Demokrasia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079

Edwin Odemba: unaamini kwamba Chama cha Mapinduzi ndicho kilikuwa ni chama sahihi eh ya wewe kuwepo kwa wakati ule?"

Peter Msigwa: "In a way ndio na in a way no. Uh lakini kwa..."

Edwin Odemba: "Uliwezaje sasa kwenda mahali ambapo in a way was no, in a way was yes?"

Peter Msigwa: "Nilienda kulingana na jinsi nilivyokuwa pushed."
Edwin Odemba: "Mhm nani alikupush kwenda CCM?"

Peter Msigwa: "Uongozi uliokuwepo wakati ule."

Edwin Odemba: "Uongozi wa?"

Peter Msigwa: "Wa Chadema."

Edwin Odemba: "Ambaye alikuwa ni?"

Peter Msigwa: "Uongozi uliokuwepo."
"In totality, uongozi uliokuwepo kabla ya mabadiliko yaliyokuja kuutoa uongozi mzima wa Chadema ukaja uongozi mpya."

Edwin Odemba: " uongozi huo unaosema wakati huo nani alikuwa anaongoza Chadema?"

Peter Msigwa: "Bwana inaeleweka, sina interest ya kutajataja majina ya watu. Hizo siasa saa hizi nimepanda level kidogo, sitaki kutajataja majina ya watu ila uongozi uliokuwepo ulikuwa ulinipush kuondoka kwa sababu ulikuwa unakiuka misingi, unahubiri demokrasia hauna demokrasia, ulikuwa umekompromaiz kwa kifupi."
 
Akisema uongozi akijumlishwa na yeye ndani ya huo uongozi si alikuwa kiongozi wa kanda? Hana jipya
 
Si angemuuliza tu kama anamzungumzia Mbowe? Aidha, Makamu wa Mbowe alikuwa Lissu na Mtendaji Mkuu wake Mnyika. Heche na Lema walikuwa kwenye Kamati Kuu. Wote hao ndio uongozi wa Chadema ya sasa ukimuondoa Mbowe. Amtaje tu kama ana amini hivyo. Vinginevyo ni unafik na majungu.

Amandla..
 
Msigwa alishajiharibia CV yake kwenda upande ule, sasa hivi haaminiki tena
Suala kubwa hapa sio kwenda upande ule bali akiwa kule aliongea nini kibaya kuhusu alikokuwa ametoka.

Ila kila siku nasema hao CHADEMA ni kama kenge tu hawasikii mpaka damu ziwatoke masikioni. Wasaliti wanarudi kama nyumbu halafu wanapokelewa kwa mbwembwe na bashabasha. Hao walipaswa waishie huko huko kwenye matawi/misingi yao mpaka miaka mitatu iishe ndo waanze kusogezwa kidogo kidogo juu tena baada ya uchunguzi mkali sana.
 
Kweli hapa Chadema wamekosea
 
Edwin Odemba: unaamini kwamba Chama cha Mapinduzi ndicho kilikuwa ni chama sahihi eh ya wewe kuwepo kwa wakati ule?"

Peter Msigwa: "In a way ndio na in a way no. Uh lakini kwa..."

Edwin Odemba: "Uliwezaje sasa kwenda mahali ambapo in a way was no, in a way was yes?"

Peter Msigwa: "Nilienda kulingana na jinsi nilivyokuwa pushed."
Edwin Odemba: "Mhm nani alikupush kwenda CCM?"

Peter Msigwa: "Uongozi uliokuwepo wakati ule."

Edwin Odemba: "Uongozi wa?"

Peter Msigwa: "Wa Chadema."

Edwin Odemba: "Ambaye alikuwa ni?"

Peter Msigwa: "Uongozi uliokuwepo."
"In totality, uongozi uliokuwepo kabla ya mabadiliko yaliyokuja kuutoa uongozi mzima wa Chadema ukaja uongozi mpya."

Edwin Odemba: " uongozi huo unaosema wakati huo nani alikuwa anaongoza Chadema?"

Peter Msigwa: "Bwana inaeleweka, sina interest ya kutajataja majina ya watu. Hizo siasa saa hizi nimepanda level kidogo, sitaki kutajataja majina ya watu ila uongozi uliokuwepo ulikuwa ulinipush kuondoka kwa sababu ulikuwa unakiuka misingi, unahubiri demokrasia hauna demokrasia, ulikuwa umekompromaiz kwa kifupi."
Msigwa ni takataka. Kama Chadema hakuna demokrasia by those times, kweli CCM ndiyo kulikuwa na democracy? Takataka kabisa Msigwa. Sema nilidhani kwenda huko ningeliwakomoa chadema lkn ika Buma au ak8dhani atapata cheo , ikabuma! Takataka
 
Edwin Odemba: unaamini kwamba Chama cha Mapinduzi ndicho kilikuwa ni chama sahihi eh ya wewe kuwepo kwa wakati ule?"

Peter Msigwa: "In a way ndio na in a way no. Uh lakini kwa..."

Edwin Odemba: "Uliwezaje sasa kwenda mahali ambapo in a way was no, in a way was yes?"

Peter Msigwa: "Nilienda kulingana na jinsi nilivyokuwa pushed."
Edwin Odemba: "Mhm nani alikupush kwenda CCM?"

Peter Msigwa: "Uongozi uliokuwepo wakati ule."

Edwin Odemba: "Uongozi wa?"

Peter Msigwa: "Wa Chadema."

Edwin Odemba: "Ambaye alikuwa ni?"

Peter Msigwa: "Uongozi uliokuwepo."
"In totality, uongozi uliokuwepo kabla ya mabadiliko yaliyokuja kuutoa uongozi mzima wa Chadema ukaja uongozi mpya."

Edwin Odemba: " uongozi huo unaosema wakati huo nani alikuwa anaongoza Chadema?"

Peter Msigwa: "Bwana inaeleweka, sina interest ya kutajataja majina ya watu. Hizo siasa saa hizi nimepanda level kidogo, sitaki kutajataja majina ya watu ila uongozi uliokuwepo ulikuwa ulinipush kuondoka kwa sababu ulikuwa unakiuka misingi, unahubiri demokrasia hauna demokrasia, ulikuwa umekompromaiz kwa kifupi."
Huyo Msigwa ni mpuuzi fulani, huko ccm ndio kulikuwa na demokrasia kuliko alikotoka? Sasa alipokuwa anatoa matapishi dhidi ya chama wakati ametofautiana na viongozi ilikuwa anataka nini?
 
Ingawa Siasa Ni Kazi Yake
Tunamshauri Aendelee Kukaa Kimya Kusogelea Media Na Kuongea Mambo Ambayo
Badala Ya Kumjenga Yanamchafua Sana
Tazama Mahita Omary IJP Mstaafu
Karopoka Kwenye Media Mpaka Imelazimu Azibwe Mdomo
 
Huyo Msigwa ni mpuuzi fulani, huko ccm ndio kulikuwa na demokrasia kuliko alikotoka? Sasa alipokuwa anatoa matapishi dhidi ya chama wakati ametofautiana na viongozi ilikuwa anataka nini?
Ameongea Kama Ngumbaro Class
Amekwenda Kujifanya Ng'ombe Anatoa Ulimi Mdomoni Anauweka Puani
Halafu Oops
 
Swali ambalo pia ilibidi amuulize, ilikuwaje akahama wakati uchaguzi wa mwenyekiti ulikuwa umekaribia. Kwann asingesubiri aungane na wenzie kuung'oa huo uongozi
 
Atulie. Aache kujipeleka kwenye media. Atajikuta analazimika kuwatuhumu viongozi wake wa sasa, akiwemo Mnyika na Sugu.
 
Msigwa asizunguke mbuyu yeye akiri tu kuwa alikosea kwenda CCM. Tuhumakuwa kulikuwa na hela za rushwa ya uchaguzi ni kweli na ni kweli pia kuwa hela hizo zilitoka CCM sasa ilikuwa busara gani kwenda sehemu ambayo chanzo cha matatizo aliyoyakimbia?
 
Msigwa ni mtu muhimu sana kwa CDM ya sasa. Yeye, Lissu, Lema na Wenje ndio waliopanga mpango wa kumpumzisha Mbowe. Msigwa alikuwa ndio hatchet man wa Lissu, mtu ambae alikuwa na uthubutu wa kumshambulia moja kwa moja Mwenyekiti wake. Pale uongozi wake ulipo retaliate Lissu alisema kuwa Msigwa asikilizwe kwa sababu ana point. Lissu akasema waziwazi kuwa pesa za Abdul zinatumika katika kumhujumu katika uchaguzi wa kanda ya Nyasa. Wakati wa kampeni, inasemekana Msigwa akiwa CCM alimpenyezea documents za chama mwandishi mmoja wa habari katika jitihada za kumhujumu Mbowe.

Kwa vile Msigwa yuko karibu sana na Lissu, hawezi kupotezewa. Mchango wake kwa walio madarakani ni mkubwa mno.

Kiongozi yeyote makini mwenye busara atawaweka watu anaowaamini katika nafasi nyeti. Uongozi wa sasa wana imani na Msigwa na ni haki yao kumpokea.

Amandla...
 
Back
Top Bottom