Pre GE2025 Peter Msigwa, ona aibu kidogo angalau, umemsakama Mbowe lakini hajakujibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!

Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!

Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her predecessors!

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

1723300089325.png
 
Tangu awali nilijua Msigwa ni Mjinga lakini sikujua kama ni mjinga kiasi hiki
Nikikunbuka vile ulivyokuwa ukimpambania Msigwa na kumshambulia Sugu, Mimi bado siamini kama kuna wakati wowote ule uliwahi kuhisi kwamba Msigwa ana hata kachembe ka-ujinga, ila anyways, wanadamu wana mengi mioyoni
 
Ungekua unaelewa siasa ni nini usingeandika hii thread.
Naielewa sana, siyo kujidhalilisha to that extent! Kuna threshold ambayo hupashwi kuivuka!

Mfano Akiitwa kufua underwear za "naniliu" atafua kwa vile anaelewa siasa?

Sasa amefikishwa hapo! Msigwa si wa kubeba masananu level aliyokuwa amefikia!
 
Nikikunbuka vile ulivyokuwa ukimpambania Msigwa na kumshambulia Sugu, Mimi bado siamini kama kuna wakati wowote ule uliwahi kuhisi kwamba Msigwa ana hata kachembe ka-ujinga, ila anyways, wanadamu wana mengi mioyoni
ni wapi nilimponda Sugu, weka hilo andiko
 
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!

Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!

Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her predecessors!

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

View attachment 3066228
Peter Msigwa, anapigana na makanjanja ya kisiasa!, na wa binafsi!
 
Atawanya kazi Gani nyingine zaidi ya hyo mkuu wkt Kwa ss Hana kazii,acha abebe bango la mama kama VYETI vya chuo anatafuta kula huyo tamaa ya madaraka ndio inamsumbua...
 
Back
Top Bottom