Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And surely that might be possible! na kweli hawatampa nafasi ya kugombea ubunge, sana sana watampa Ukuu wa wilaya! This is most likely to be so!Anajiaibisha sana Msigwa, safar hii iringa pale jimbo lilikua analichukua bila tabu kabisaa ccm wakaona hil haraka wakafanya yao.
Dah inasikitisha sana
Anajidhalilisha tu kwa level aliyokuwa amefikia siye wa kubebeshwa sanamu na uvccm angalia vizuri uso wake anaona aibu lakini ndiyo amehongwa na AbdulPeter Msigwa, anapigana na makanjanja ya kisiasa!, na wa binafsi!
exactly, amewatukana/amewapasha/amewaambia CM ukweli miaka zaidi ya kumi kuwa hawafai, leo all of a sudden unasema hakuna chama kama CCM, WANAKUONA PUNGUANI... to put it in a harsh language nincompoopCCM wamemfanya awe kituko kulipia mipasho aliyokuwa anawapasha.!!
Tatizo siyo la msigwa yeye amenunuliwa kwa kazi hiyo ya kumsakama mbowe kumchafua kwa vile ccm wamesikia kuwa mbowe anania ya kugombea kiti cha urais ili wanaomsapoti wasimsapoti kwa hiyo ndiyo mkataba walioingia na kumpigia mama debeWenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her predecessors!
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA
View attachment 3066228
Wanamdanganya mama! Mbowe hawezi kugombea Urais, alijaribu miaka ile akakosa. sasa nadhani mtu sahihi ni Lisu kwa sasa kutoka chadema! Wanamdanganya Samia!Tatizo siyo la msigwa yeye amenunuliwa kwa kazi hiyo ya kumsakama mbowe kumchafua kwa vile ccm wamesikia kuwa mbowe anania ya kugombea kiti cha urais ili wanaomsapoti wasimsapoti kwa hiyo ndiyo mkataba walioingia na kumpigia mama debe
Wote hao watamtikisa mama awe lisu au mbowe unajua wakati aligombea na mkapa hali ilikuwa ngumu na akawa mshindi wa tatu uzuri mbowe kwenye kampeni ni mtu asiyechokaWanamdanganya mama! Mbowe hawezi kugombea Urais, alijaribu miaka ile akakosa. sasa nadhani mtu sahihi ni Lisu kwa sasa kutoka chadema! Wanamdanganya Samia!
Sijui, lakini itakuwa si busara Mbowe kuwania urais na kumucha Lisu! Lisu atamtikisa samia!
Anakula matapishi yake 😂exactly, amewatukana/amewapasha/amewaambia CM ukweli miaka zaidi ya kumi kuwa hawafai, leo all of a suden unasema hakuna chaa kama CCM, WANAKUONA PUNGUANI... to put it in a harsh language nincompoop
Makonda aliishawahi kuwajibu?Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her predecessors!
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA
View attachment 3066228
Sasa aongee nini kwa mfano? Hana lakuongea, CCM hakuna la kuongea, ndomana kakomaa na Mbowe hadi inachosha, tumpe muda ht walio mnunua soon wata mchoka🤣🤣🤣🤣Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her predecessors!
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA
View attachment 3066228
Mwamba amempuuzilia mbaliWenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her predecessors!
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA
View attachment 3066228
Huyu Mungu ameisha mkataa , ogopa saliti roho za watu kuanzia elfu moja na kuendelea ,ambao walikuamini , kama kiongozi wao , bila shaka naye Msigwa anajua , ipo siku atakuja ishi maisha ya kuvaa nguo zenye viraka ,asema Bwana sio maneno yangu , Mungu wangu yupo up to date sana ,Msigwa tunza hiiWenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her predecessors!
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA
View attachment 3066228
Mwambie sasa siasa ni nn ili next time asifungue thread kama hiiUngekua unaelewa siasa ni nini usingeandika hii thread.
Mzee wa isuki lemiraWote hao watamtikisa mama awe lisu au mbowe unajua wakati aligombea na mkapa hali ilikuwa ngumu na akawa mshindi wa tatu uzuri mbowe kwenye kampeni ni mtu asiyechoka