Mtu akienda upande wa Raila, yeye ni mzuri.
Mtu akienda updane wa Uhuru, amelipwa.
Wacheni upuzi.
Ukweli ni kwamba hakuna yeyote anayependa kuwa upande wa losers. Reasoning ni kwamba upande wa serikali una advantages mingi. Hakuna anayependa kubaki upinzani. Na sio lazima ulipwe ndivo usupport serikali.