Peter Munya Returns to Jubilee

Peter Munya Returns to Jubilee

Kwa hii stlye ya Uhuru kumwaga pesa hakuna mwanasiasa mwenye njaa atabaki salama...

By the way, Munya hana impact afterall kura za Meru ni za Jubilee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii stlye ya Uhuru kumwaga pesa hakuna mwanasiasa mwenye njaa atabaki salama...

By the way, Munya hana impact afterall kura za Meru ni za Jubilee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mlikuwa na yeye akimwaga pesa?

Mtu akienda upande wa Raila, yeye ni mzuri.
Mtu akienda updane wa Uhuru, amelipwa.
Wacheni upuzi.

Ukweli ni kwamba hakuna yeyote anayependa kuwa upande wa losers. Reasoning ni kwamba upande wa serikali una advantages mingi. Hakuna anayependa kubaki upinzani. Na sio lazima ulipwe ndivo usupport serikali.
 
Back
Top Bottom