Peter Mwambuja: Wananchi wajiandae kutozwa tozo zaidi

Peter Mwambuja: Wananchi wajiandae kutozwa tozo zaidi

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Kwa bajeti ambayo imetoka kwenye Trilioni 41 kwenda kwenye Trilioni 44 na imeelekeza pesa kwenye matumizi ya kawaida haipeleki meseji kwamba inaweza kuwa ni kubana matumizi, tunabana matumizi kama sehemu ya kudhibiti uchumi, kupunguza mgandamizo wa fedha.

Kwa nature ya bajeti yetu unaona kwamba pengine itakachopelekea ni kwenda kuongeza kutoza zaidi, sababu hata ukiangalia muunganiko wa namna tunavyoenda kukusanya hii kodi, sehemu kubwa itatokana na mapato ya ndani ambayo maana yake ni kodi

Lakini pia TRA ilipangiwa kukusanya Trilioni 23 kwa mwaka wa fedha uliopita sasa hivi wameongezewa mpaka Trilioni 26 pengine kwa tafsiri ya Waziri inaweza kuwa sahihi kwamba wananchi wajiandae kwani watatozwa zaidi.

#BajetiKuuYaSerikali
1686836934500.png


#Mjadala
#EastAfricaTV
 
Back
Top Bottom