Peter Noni na Rostam - The EPA Connection


Akisema hivi ni kosa unless ana ushahidi. Kusema CCM mafisadi ni sawa na kusema CCM wote mafisadi. Sasa kila mwanaCCM akimshitaki na kuomba atoe ushahidi wa ufisadi wao? Umezidi ku generalise mambo. Kwa hiyo basi Tanzania kuna mafisadi na watu wa nje waseme watanzania wote mafisadi? Hauwezi kugeneralize watu wengi kutokana na wachache. Mengi kataja alio na ushahidi nao na wengine wenye ushahidi mwingine na waji tokeze. Mambo yanaenda kwa sheria ndiyo maana Mengi haja lopoka. Alijua anao wataja ni wakina nani, kwanini na kwa ushahidi upi. Sitetei CCM ila kusema CCM ni mafisadi ni sawa na kusema kila mwana CCM ni fisadi which is not true. You can not pass judgment on many on the basis of a few. Mwenzio kataja alio na ushahidi nao kama na wewe una ushahidi wako you can call a press conference na wewe useme fulani ni mafisadi na wakina fulani ni wakabila. You can't force Mengi to say what you want him to say.
 

Mostly pesa nyingi zilizoibiwa Through EPA they were for collective purpose which was to elect CCM, Therefore when I say CCM ni mafisadi sijakosea.
Leo Hii the government cant regualte the Oil prices because wakati wa Uchaguzi magari ya CCM yalikuwa yanapita kwenye sheli za Oil com na kumiminiwa mafuta Bure.

Ukiangalia UpandE mwingine watu Kama kina NJAKE wameingizwa kwenye EPA kutokana na CCM kuchukua mafuta Bure kule maeneo ya Moshi, Arusha, Mara, therfore njia ya kumlipa Njake ambaye alikuwa mfanyabiashara mzuri tu kabla hajaingia mkenge wa CCM Ilikuwa ni EPA.

Mengi alikuwa ni secndary benefiary wa EPA through ITV , Nivipindi vingapi ITV na Radio one ilivifanya wakati wa Uchaguzi na ndio maana hawezi kuiita CCM mafisadi kwasababu he is fighting for his postioning and not for Watanzania, based on the facts Watanzania wote tunafahamu vyombo vya habari vya mengi vilikuwa bias tu CCM

RA kamavictim wengine wa EPAalikuwa just a facilitator but the bottomline is the CCM Election Finance ndio chanzo cha ufisadi wote.

Therefore its ingenuine to claim kwamba just certain people are Fisadi, the Fact ni kwmaba CCM should be held accountable
 

Mkuu ni kweli VODACOM ni recruiting place si unaona waliojaa huko ni watoto wa wakubwa wa ccm kina mwamvita makamba & co
 
RA is not doing fair to this country! the guy is a criminal and deserves punishment at any cost.if this sabotage happens in iran where the guy originates he could have been slaughtered like a goat.the guy is neither a nyamwezi nor a sukuma so dont judge these guys badly.they are damn poor!
 


Nakubaliana na wewe CCM should be held accountable. Ninacho sema ni kwamba the way you said it ni sawa na kusema kila mwana CCM ni fisadi hence nikasema ume generalize. Lakini kama CCM should be held accountable for the sins of the few mafisadis within it basi blame also the Tanzanian electorate which put them into power. So if I was to blame the Tanzanian electorate basi pia niwa include na wale ambao hawaku ipigia kura CCM? I hope you get the point.
 

LeoKweli,

Hata kama sikubaliani na mengine uliyoyandika hapo juu lakini napenda watu wanaotumia ubongo wao kujadili mambo na sio matusi ya vijiweni.

Hizi hoja zako wacha nikae chini na nianze kuunganisha dots nione kama zina make sense.

kazi kweli mwaka huu.

Kinachonifurahisha kingine na sisi Watanzania, tukitoka hapa JF na kupandisha hasira, tunarudi makazini kwetu hospitalini ambako tunwadhulumu wagonjwa dawa, TRA ambako tunainyima serikali mapato, Polisi tunapiga Watanzania wenzetu, bank kuzuia mikopo kwa Waswahili na kuwapatia wageni.

Mbona kama tungefanya haya tunayoyaamini hapa, basi taifa lingekomboka kwa muda mfupi?
 

Hivi vita si vya kikabila kama ambavyo inaweza kuonekana. Vita hii inasababishwa na Rais wetu JK ambaye amekuwa mzito kuongoza nchi na kuiachia solemba.Nchi yetu inaelekea kwenye hali ya Gari lililo katika "stearing Rack" gari likikatika hicho kiungo mhimu cha usukani haliongozeki linakwenda linakotaka ikibidi hat break hufaili,hatima yake huwa ni ajali.
Si elewi ni vipi Rais hachkui hatua, sielewi ni vipi kauli za kina Felesi(DPP) kuwa kuna makampuni na baahi ya watu hawaguswi.Hizi kauli zinatoka wapi? Ebu tujikumbushe enzi nchi ikiwa na viongozi scandal ya Shinyanga watu wa ikulu kina Kigadye (mkuu wa usalama wa taifa shinyanga) Kawawa (waziri mkuu) Mwinyi (waziri mambo ya ndani),tuhuma za kuwaua raia kina Twiga mazegenuka zilwasababisha wajiuzulu na wengine wakafugwa,leo hii raia anauwawa kama swala hali swala wa ngorongoro akilindwa kuliko binadamu. Tatizo siyo ukabila tatizo ni kiongozi mkuu ameshindwa kuongoza jahazi sasa hata wapishi kwenye jahazi wanakuja shika usukani.
 
Mkuu ni kweli VODACOM ni recruiting place si unaona waliojaa huko ni watoto wa wakubwa wa ccm kina mwamvita makamba & co

Wakuu,

Mbona hili ni kama liko wazi mno? VODACOM kwa miaka kama 10 hivi wamekuwa ndio waajiri wa maana kwa TZ kwa maana ya malipo na kazi pia hawakuwa na uhusiano wa moja kwa moja na serikali kama ilivyo BOT. Hivyo ilikuwa rahisi kwa mjanja yeyote mjini kuingia huko hata kama sio mtoto wa mwanasiasa

Lazima utegemee vijana wengi wakali wa nchi lazima watapata kazi au kuwa na maslahi na VODACOM na hao hao ndio wajanja hata wa kuweza kutumia influences zao kuweza kuchukua madaraka ya nchi au kujiingiza kwenye ufisadi.

VODACOM inawakilisha kundi la wajanja Tanzania. No wonder wapo kila sehemu kuanzia kwenye ufisadi mpaka kwenye siasa.

Nchi imepata ukimwi, inakufa pole pole.
 

Siku zote Uongozi wa Chama na Uongozi wa Nchi yoyote Duniani say Volume about them. Hivyo Uongozi wa Juu wa CCM Uko responsible, na unapoongelea Uongozi wa juu wa Chama au nchi maana yake unaongelea hiyo nchi. Ukiangalia katika election sytem ya CCM ina encourage Rushwa sana , kuanzia ngazi ya shina, kwahiyo CCM inatakiwa isafishe Chama kuanzia ngazi ya Shina ,kata, wilaya mpka Taifa.

Nimeshashuhudia chaguzi nyingi za madiwani, Bila pesa hushindi, the whole election system ya CCM need a big reforms which is anti garft . We have alot of Young people who want to be good public servant but they cant make it in the system hawana pesa. therefore they adopt mazingira ya Rushwa.

Kwahiyo kazi ipo, na ninaposema CCM sina maana ya kukipinga chama but how it run and the cultures inayolizunguka is very sickning.
 
Walau mjadala unaanza kurudi pazuri maana mambo ya UKABILA yalipoingia......kizunguzungu kikanianza. Now people lets fight the common enemy UFISADI. Tujadiliane na kila mtu ana equal chance ya ku-criticise and kuwa criticised. Naona ka-nchi ketu huenda kanaelekea pazuri. Kuna dalili nzuri sana. Lets keep the pace
 


Hapo nakubaliana na wewe. I think now we are in the same page.
 

Yaani kuandika kooooote hujaja na chochote cha ushahidi wa kumtia hatiani RA, una nini na RA? unapika majungu ambayo hauna ushahidi nao wowote? ni chuki binafsi au ''agenda ya siri''.

Yaani hicho ulichokiandika juu, ni nini?
 
Jamani na tume yetu ya uchaguzi ina bidi ijadiliwe. Nina wasi wasi tume yetu ya uchaguzi ni ceremonial tu. Je mnaonaje tume yetu hii ya uchaguzi?
 
LeoKweli,

..kusema kweli unatuchanganya na hizi habari za ukabila.

..magazeti ya Mengi yamekuwa yakiandika sana kuhusu ufisadi wa Mkapa.

..sasa kama Mkapa aliwalinda Wachaga kwanini leo hii Mengi anamuandama kiasi hicho? tena hujaona juzi jinsi Mengi alivyojaribu kumsafisha Kikwete ambaye unadai anakandamiza Wachaga?

..umesahahu mgogoro kati ya Mengi na Mramba, baada ya Mramba kuteuliwa waziri wa fedha? sasa kwanini wagombane wakati machoni mwa wa-Tanzania wote ni "wachaga?"

..halafu Kikwete amewapendelea Wasukuma/kanda ya ziwa ktk jambo gani haswa? amewafanyia kitu gani which is so special tofauti na Maraisi wengine kama Mkapa na Mwinyi?

..Waziri Mkuu, waziri wa Fedha, waziri wa ulinzi, waziri wa mambo ya nje, wakuu wa taasisi nyeti kama Usalama wa Taifa,TRA,BOT,Mahakama Kuu,Jeshi,Polisi,Magereza, etc wote siyo wenyeji wa kanda ya ziwa. huo upendeleo waliopatiwa wananchi wa kanda ya ziwa uko wapi?
 

Ninapoongelea Regional politics they are not neccesary there kuwanufaisha watu wanotoka kanda hiyo. But what I was saying ni kwmba wafanyabiashara wa kanda ya ziwa wamekuwa more closer to the president than usual businessman kutoka kilimanjaro.

Ukiangalia hao wote kina,Chenge, Rostam, Somaiya, Masha,diaro,Rukawe, ngeleja, Noni,sita n.k wanatoka kanda ya ziwa na walikuwa very influencial on the dynamics the politics ya kanda ya ziwa. by which it didnt sit well with other mafisadi kutoka kanda ya kilimanjaro , ndio maana nikaita it is a mixed bag.

Samahani , kwasababu ninajua issue za ukabila ni very sensitive but Amani ya Tanzania itakuwa insured with economic stability , therefore lazima tuseme na tuneshane dynamics za politics ya bongo zilivyo.
 
i beg to differ...unaleta zaidi ukabila katika kuelezea suala hili..
 



LeoKweli,

..huwezi kushinda Uraisi wa Tanzania kwa kutegemea kura za watu wa Kilimanjaro. they just dont make up the numbers.

..kanda ya ziwa ina watu wengi kushinda maeneo mengine ya Tanzania. sasa Kikwete/mtandao kuwa na harakati zaidi ktk kanda ya ziwa ni jambo linaloeleweka kisiasa.

..sasa kama unadai regional politics kama ulivyoziongelea hapa hazimaanishi kwamba zinanufaisha wananchi walio wengi wa regional husika. je kulikuwa na haja gani kuwahusisha wafanyabiashara hao ni maeneo walikotoka? kwanini usiwataje mmoja mmoja tu?

..mimi nadhani huu utaratibu wa kuwaangalia watu kwa makabila yao siyo mzuri sana. hao wafanyabiashara maarufu toka kanda ya ziwa au kilimanjaro make up what percent ya wananchi wa maeneo hayo?
 
Tusiharibu hoja!
Hapa suala sio ukabila,udini wala ukanda-tujadili hoja iliyopo mbele- nani ni fisadi,na kwanini ufisadi-na tunautoa vipi?

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema tusing'ang'anie kujadili watu,tujadili masuala.
Ndiyo-mimi nauita upumbavu wa hali ya juu kama mtu anakalia kujadili ukabila,ukanda n.k katika suala hili.
Hebu tuangalie yafuatayo:

Huyu Rostam kwanini asemwe yeye tu siku zote katika masakata yote hayo-lazima kuna namna-lazima aangaliwe vizuri!
Mengi nae/kwanini kila leo alie lie tu kuwa anaonewa katika kila jambo?yeye ni nani hasa mpaka aonekane ni msafi tu kwa kila kitu,tena kwa kuibuka haraka haraka kila linapotokea jambo zito?
Kwanini anahusishwa mara kwa mara kuwa kati ya watu waliojitajirisha haraka baada ya kuondoka kwa mwalimu nyerere-sio kufa,katika anga za utawala-lazima naye atazamwe vizuri huyu nae.

Tuacheni kupindisha hoja-ooh mara ukabila,mara udini mara ukanda;
Tunasumbuliwa na wezi-tena wezi wakubwa wasio na uchungu wowote na maskini wa na nchi hii kwa ujumla-wezi wakubwa hawa! tena mengi wanayofanya ni unafiki tu.
Nchi hii,lazima afufuke Nyerere mpya-inaudhi,tena inaumiza na kuchukiza sana-watuu wachache wanakuwa masshetani wakubwa kiasi hiki?!
 
Big up sana Mwanakijiji na mpitanjia,muendelee kutuelimisha,tupeni pia orodha ya viongozi wanao/waliofadhiliwa na mafisadi kwa kina ili watanzania wajue na wawaweke kiporo.
 

Nimeongelea Hivyo Ili kuuweka wazi umma kuwa tusidanganywe na hizi propaganda. Vita ya Ufisadi Inaweza kupigwana vyema kwa kuisafisha CCM. Hivyo watu kama mengi kama wako serious katika hivi vita, Lazima wawe tayari kuongelea CCM Kama chama inavyo encourage Rushwa. Mpaka sasa hatuoni matunda ya upiganaji wa rushwa kwasababu CCM Imenufaika na pesa za Rushwa na wizi huo.

Huwezi kuniambia uchunguzi uliofanyika miaka 2 unafikishwa mahamani bado watu hawaendi jela ?

Kinachonichukiza mimi ni hii drama ya mengi na RA, Inatutoa kwenye mapambano ya rushwa na ufisadi, RA na Mengi they are intrested in their business influence than Vita ya Ufisadi, that why we need to refocus the discussion to tell wananchi kuhusu ufisadi wa viongozi wote wa CCM na sio mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…