MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Kwahiyo unataka kuniambia ufisadi wa CCM Umeanza mwaka 2000 , Hebu kuwa mkweli. Mengi ni benefiery wa Pesa za EPA , Kupitia ITV, Mengi wakati wa uchaguzi wa 2000 hakutufanyia haki watanzania kwasababu alitumia vyombo vyake vya habari kuifanyia PR CCM iliyosababisha kutuchagulia viongozi wachovu, Na mpaka sasa Mengi hayuko intrested na Vita ya Ufisadi bali yuko intrested na Recovery of his Business and influence power.
Kumbuka kwamba Mengi hajasema CCM Mafisadi ninataka atamke hivyo ili nijue kama yuko serious kwenye hiyo vita ya mafisadi. He cant say that ITV imepoteza market share sana baada ya TBC2 Kuanzishwa hivyo he is doing for hi own intrest.
Vita vya mafisadi pure vinapiganwa na wachache e.g DR Mwakyembe
Akisema hivi ni kosa unless ana ushahidi. Kusema CCM mafisadi ni sawa na kusema CCM wote mafisadi. Sasa kila mwanaCCM akimshitaki na kuomba atoe ushahidi wa ufisadi wao? Umezidi ku generalise mambo. Kwa hiyo basi Tanzania kuna mafisadi na watu wa nje waseme watanzania wote mafisadi? Hauwezi kugeneralize watu wengi kutokana na wachache. Mengi kataja alio na ushahidi nao na wengine wenye ushahidi mwingine na waji tokeze. Mambo yanaenda kwa sheria ndiyo maana Mengi haja lopoka. Alijua anao wataja ni wakina nani, kwanini na kwa ushahidi upi. Sitetei CCM ila kusema CCM ni mafisadi ni sawa na kusema kila mwana CCM ni fisadi which is not true. You can not pass judgment on many on the basis of a few. Mwenzio kataja alio na ushahidi nao kama na wewe una ushahidi wako you can call a press conference na wewe useme fulani ni mafisadi na wakina fulani ni wakabila. You can't force Mengi to say what you want him to say.