Peter (P-Square) amtusi Diamond "stupid"

Dudu laaa YUUUYUUUUUU.....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

sure!

kwa hiyo kudhalilisha mwanamke ambaye ni mama sio nzuri!''ila ulisema ni kawaida sana hii

Ukasahau maada nzima unamzungumzia mama wa watoto wawili,nakuwa nimekuweka kwenye kona ya Tiffah umeumia


Pole,naona umesoma kwa mfano mzuri

futa hii thread yako sasa,maana ina mdhalilidha mama
 
Ule wimbo " KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI" alikuwa anawaimbia wengine hakujua na yeye ni sehemu ya jamii yatamkuta? siri i wapi?
 
Nimekupa na like maana nimeheshimu akili yako ilipoishia....
Naomba usiniquote tena mkuu
 
Ww ndio mpigania haki za wanawake humu ndani??waache wanawake wapiganie haki zao wenyewe... infact watu kama nyinyi ndio mnasababisha wanawake wanazidi kuwa wadhaifu kwa kuwasaidia....kama unaona huyu DP amedhalilisha wanawake...waachie wenyewe watakuja kupigana wenyewe ni vita yao....
 

Hamna wanawake wapiganaji Tanzania kama kungekuwa na ranking Afrika Mashariki basi wao wangeshika mkia, Wakenya ndo naonaga wapo ki harakati zaidi.
 
Dai haitaji kiki ili apate kuzungumziwa yani chochote anachokifanya dai kwa sasa ni habari taka usitake, unafahamu kuwa ana watoto wengine wawili nje ya hao wazari na hamisa??

Eeeeh
Anakideo anajisifia yeye mmoja wa mabingwa wa kiki.. na anapenda drama kila siku.. eti unamtetea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hata kama angekuwa ana watoto mia.. Tiffah na Nillan wenyewe hawajali .. picha tosha kumuonyesha alivyo. Zari ndio alimfungulia njia na kumuongeza. Sasa hivi anajuta na ndio maana kamuona na Kingbae akabwabwaja uongo... Nawe unasubiria harusi ya ZariπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona nilichoandika na ulichojibu ni vitu viwili tofauti..

Halafu kingine yawezekana tumetengenashwa kwa jinsia lakini sote ni binadamu.. Kila mtu ana haki ya kuheshimu na kuulinda utu wa mtu maana ni nguzo ya kisheria za aina zozote zile zikiwemo za kidini. Nitashangaa kama hata Kristu alikuwa mpigania haki za wanawake kwa kumkingia kifua mwanamke aliyepaswa kuuliwa kwa kupigwa mawe kisa uzinzi.

Siku mtoto wako wa kike , dada, mama au shangazi yako akikutana na kadhia ya kudhalilishwa je, utakaa pembeni na kusema hayakuhusu mkuu... mfumo wowote unaoulea ipo siku utakuathiri tu
 
Soma paragraph yako ya kwanza....acha kuruka ruka na kuleta porojo mingi!
 
Tuanzie hapa nani kampa umaarufu mwenzake kati ya yule Ajuza na Simba?
 
Hakuna mtu anayeshindana na mwenzake humu...next time try harder to be consistent....and make sense in your sms
Hujaenda kinyume na expectations zangu. Unapenda arguments kuliko discussion.
Pia I'm not responsible to make sense to you.. im only responsible for what i say and write but what you understand is non of my concern mkuu
 
Hujaenda kinyume na expectations zangu. Unapenda arguments kuliko discussion.
Pia I'm not responsible to make sense to you.. im only responsible for what i say and write but what you understand is non of my concern mkuu
Usiwe unacoment humu basi.....uwe unacoment nyumbani kwako na mkeo....ikiwa akili yako imeshindwa kutambua hii ni public forum...If you put a trash we trash u....
 
Usiwe unacoment humu basi.....uwe unacoment nyumbani kwako na mkeo....ikiwa akili yako imeshindwa kutambua hii ni public forum...
Najua ni public forum ila kila mtu huelewa kwa level yake ya uelewa na hapo ndipo binadamu muelewa huweka limit mkuu..
Sio kila kitu ni lazma ujibu na hii ndio dalili ya kumuheshimu kila mtu

By the way .Sina mke wala kwangu ila nina akili ya kujua kuwa hustahili kunipangia ni nini natakiwa kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…