Mbona nilichoandika na ulichojibu ni vitu viwili tofauti..
Halafu kingine yawezekana tumetengenashwa kwa jinsia lakini sote ni binadamu.. Kila mtu ana haki ya kuheshimu na kuulinda utu wa mtu maana ni nguzo ya kisheria za aina zozote zile zikiwemo za kidini. Nitashangaa kama hata Kristu alikuwa mpigania haki za wanawake kwa kumkingia kifua mwanamke aliyepaswa kuuliwa kwa kupigwa mawe kisa uzinzi.
Siku mtoto wako wa kike , dada, mama au shangazi yako akikutana na kadhia ya kudhalilishwa je, utakaa pembeni na kusema hayakuhusu mkuu... mfumo wowote unaoulea ipo siku utakuathiri tu