Peter (P-Square) amtusi Diamond "stupid"

Ajuza ni zari mwenye miaka 37 sijui 38 alafu Simba ni Diamond, haya sasa swali la mbolea ni nani kampa mwenzake umaarufu Tanzania na E.Akwa ujumla?
Zari kaanza muziki kashinda tuzo Cha chanel 0, Diamond bado hajatoka
Tatizo wengi mmemjua Zari baada ya Diamond na Instagram kupata umaarufu
 
Zari ni mzur kwa bed aiseeeee bado kutamu sana kule hakuja chacha bado mond kaaacha vitamu sana wacha apambane na hal yake.
 
Zari kaanza muziki kashinda tuzo Cha chanel 0, Diamond bado hajatoka
Tatizo wengi mmemjua Zari baada ya Diamond na Instagram kupata umaarufu
Hawajui zar ni konk kitambo kafanya sana ushenz kitambo Ivan kahangaika sana na zar yaaan zar ni GOLD DIGGER.
 
Tafsiri yake Mondi ni tapeli, leo anasema hiki kesho kile.
 
Zari kaanza muziki kashinda tuzo Cha chanel 0, Diamond bado hajatoka
Tatizo wengi mmemjua Zari baada ya Diamond na Instagram kupata umaarufu
Hapa ndipo unafanya nikudharau, hapa tunazungumzia nani kampa umaarufu mwenzake na si nani alianza mziki mapema zaidi.

Diamond kaanza kuimba 2006.
Kuna mtu anaitwa kimbunga kaanza muziki 95 uliza watanzania wangapi wanamjua alaah! Kuwa serious aiseee
 
Uhh, but I guess things change
It's funny how someone else's success brings pain
When you're no longer involved
That person has it all
You just stuck standin' there
 
Na wimbo akamtungia.


 
Superb [emoji122][emoji122]
 
What matters to the guy is publicity and attention, only to have sufficient viewers. Hayo mengine kwao si chochote wala lolote, alikua kama amesahalika fulani akaona katika mazingira hayo aki release wimbo hautapokelewa kwa wingi, hivyo akaamua kuwachokoza wengine ili aanze kyfuatiliwa na kujadiliwa.
Dunia imadilika sana mkuu, nyimbo siku hizi zinatambulishwa na kuznduliwa Youtube.
 
Domo nalo si lilimchapiaga aivan?

Wenzie wakimmchapia kinachochapika kuna noma gani?
 
Hata x wako alisawahi kukusifia na leo hauko nae tena
 
Domo anavuna alichokipanda alitumia adabu na ustadi kujenga jina leo hii yeye kwa mikono yake anatusaidia kulibomoa hata mtoto mdogo anamdharau domo heshima yake haipo tena kabaki kichekesho mbele za watu
 
Umetisha kiongozi salute kwako
 
Haha
 
Taarabu za CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…