Peter Serukamba: Spika aache shobo

Peter Serukamba: Spika aache shobo

Kuna watu wanafikiri haya yanatokea bahati mbaya, kuna mtu anasukuma kete gizani na anajua matokeo ya game mwisho wake..
 
Sasa asipokopa hiyo miladi mikubwa aliyoanzisha mwendazake itamalizikaje??

Ndungai hakujua kama jiwe alikuwa anakopa?? Kama alikuwa anajua kwanini hayo maujinga yake hakuhoji kipindi cha jiwe??

Labda ndugai amesikia za chimichini kuwa anatafutwa spika mwenye akili kuchukua nafaisi yake sasa anajiandaa kisaikolojia
 
Spika kasema ukweli baada ya akili kumrudi ,ila kwanini ccm kila anayepinga aonekane msaliti kwa vitu vya msingi?mama anakopa utadhani mikoba ya wanawake kumbe anakopea nchi huyu mama aache shobo za kukopa,nchi ndo inalipa..Tanzania tumelaaniwa kila rais tunakutana na kimeo
Hivi Wewe ukaelewa unachokiandika, ina maana haujasikia mwendazake kakopa ngapi kwa miaka 5 zaidi ya marais wote waliomtangulia tena kwa riba kubwa sana na tumeshaanza kulipa riba kabla ya miradi kuisha.

Spika siyo mkweli hata kidogo, ila kama serukamba kasema ukweli kwa maana ya mkopo kuwa na riba ya 0% na kuanza kulipa baada ya miaka 20 mama apongezwe kwa hili.

Uliaminishwa ujinga kuwa mwendazake alikuwa hakopi ndiyo maana bado haulewi, zinduka.
 
Bahasha mgawane nauli 🤣 ..ni ngumu kuelewa labda uwe huna akili ndio utaelewa
 
Back
Top Bottom