[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yeah upo sahihi.....peter ni kama domo sifa zao zinafanana......wote mademu zao wamewazidi umri alafu full kuongea lopolopo nyingi sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ha ha Pussy worshipper....umetisha mkuu..Lola omotayo......anampelekesha sana peter.
Mpk nigerians wanamwita pussy worshipper.
Sisi na wake tuliokuyana.....itakuwaje?Maisha bana, yaani hawa ni watoto mapacha, baba mmoja na mama mmoja, lakini maslai yanawaganya
Peter ni dancer tu na ataendelea kuwa hivyo, kipaji cha kuimba ni Paul. Tatizo Peter anataka kuprove vitu ambavyo haweziKabisa. Yan hata nyimbo za psquare unaona kabisa Paul ndio alikua anabeba kundi.
Atajitutumua kuonesha he is the best mwisho achanike msamba
Zimefika kwenye top ten kwa baadhi ya station kubwaumetumia kigezo kipi kwamba ni hit song?
Wewe umeongea kitu nilichotaka kuongea.Paul ana kipaji kuliko Peter.Na kiuhalisia peter hana kipaji cha kuimba in short analazimisha tu.
Atakuwa huyo mkewe ana genes aina ya Grace Mugabe
Kwaiyo aslay anafurah piaMmmmh yeye ndo mpaka sasa katoa nyimbo mbili kama sio kufarahia kuvunjika kundi lao?!
Hufuatilii muziki Kijana na nadhani peter humjui vizuri ...Peter ni mkorofi.
Na anataka kuprove kuwa yeye anaweza kuimba na kudance pia, na hivyo haoni shida kusimama peke yake.
Ametoa nyimbo mbili hadi sana, "Cool it Down" na "For my Head". Ukiachana na video za nyimbo hizo zinazochagizwa na talanta yake kubwa ya kucheza, wachambuzi wengi wa mambo ya burudani wanasema ameflop kinoma!
Paul ametoa audio mbili: "Fire Fire na "Nkeji Keke" (ameimba kwa lugha ya ki-Igbo)
Ukilinganisha nyimbo walizotoa, Paul anaonekana kuwin separation battle so far!
Kama unataka akuite jini mkata kamba mwambie bora urudi yamoto ianze upyaKwaiyo aslay anafurah pia