Peter: Sihusiki P-Square kuvunjika

Peter: Sihusiki P-Square kuvunjika

Yeah upo sahihi.....peter ni kama domo sifa zao zinafanana......wote mademu zao wamewazidi umri alafu full kuongea lopolopo nyingi sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mbona Peter ametoa ngoma kali tu km ile Cool it down ina ubovu gani?
 
Wameshaoa kila mtu ana mke sasa,hayo wala si ya kushangaza sana,in every mans fall there is a....
 
Peter ni mkorofi.

Na anataka kuprove kuwa yeye anaweza kuimba na kudance pia, na hivyo haoni shida kusimama peke yake.

Ametoa nyimbo mbili hadi sana, "Cool it Down" na "For my Head". Ukiachana na video za nyimbo hizo zinazochagizwa na talanta yake kubwa ya kucheza, wachambuzi wengi wa mambo ya burudani wanasema ameflop kinoma!

Paul ametoa audio mbili: "Fire Fire na "Nkeji Keke" (ameimba kwa lugha ya ki-Igbo)

Ukilinganisha nyimbo walizotoa, Paul anaonekana kuwin separation battle so far!
 
Peter anajua kucheza... Paul anajua kuimba.... Wanategemeana.....
Huyu Peter nlikuwa namkubal kumbe hovyo hivi......af anajiita cool man... Mwanzo nlidhan rudeboy Paul ndo mkorofi...
 
Kabisa. Yan hata nyimbo za psquare unaona kabisa Paul ndio alikua anabeba kundi.

Atajitutumua kuonesha he is the best mwisho achanike msamba
Peter ni dancer tu na ataendelea kuwa hivyo, kipaji cha kuimba ni Paul. Tatizo Peter anataka kuprove vitu ambavyo hawezi
 
hawa watu walikuwa vizuri tu kabla hawajaoa, walipobariki ndoa tu varangati likaànza
 
Peter ni mkorofi.

Na anataka kuprove kuwa yeye anaweza kuimba na kudance pia, na hivyo haoni shida kusimama peke yake.

Ametoa nyimbo mbili hadi sana, "Cool it Down" na "For my Head". Ukiachana na video za nyimbo hizo zinazochagizwa na talanta yake kubwa ya kucheza, wachambuzi wengi wa mambo ya burudani wanasema ameflop kinoma!

Paul ametoa audio mbili: "Fire Fire na "Nkeji Keke" (ameimba kwa lugha ya ki-Igbo)

Ukilinganisha nyimbo walizotoa, Paul anaonekana kuwin separation battle so far!
Hufuatilii muziki Kijana na nadhani peter humjui vizuri ...

Ingia mtandaoni ufuatilie achievement ya wimbo wa Cool it Down
 
Hlafu huyu Peter ndio mkrofi sana tofauti na yule Paul. Hadi kwenye Birthday yao Paul alimuwish mwenzie, ila huyu Peter alikausha. Ila wanawake wanaweza kuwa wabaya sana wakati mwingine. Yani wanaweza kuvunja undugu wa watu hivi hivi... nawaombea sana wapatane, they are blood brothers for Heaven's sake!!!!!!
 
Back
Top Bottom