mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 566
Yupo mtoto mkubwa tu anaitwa Andrew Tosh na ni mwanamuziki mashuhuri tu kwenye ulimwengu wa muziki wa Reggae.
Nafikiri anafanya kazi bila pressure maana kifedha atakuwa kakaa vizuri hasa ukichukulia mjomba wake ni nani.
Kwa baba kama jina linavyoonyesha na kwa Mama, ni mtoto wa dada yake Bunny Wailers ambaye alikuwa pamoja na Tosh, Bob Marley kwenye kundi la Bob Marley and the Wailers.
Alikuwa na watoto wengi na kuna habari zinasema alikuwa na watoto kama kumi hivi (10).
Majina yao ni kama Nabii, Tosh 1, Niambe, Michelle, Erone, Steve, Toby, Dave ..... ambao walizaliwa na mama tofauti na jamaa hakuja owa. Inawezekana pia na ugomvi wake na dini ulimfanya asitake kuowa kwani akiwa mdogo kanisani, alisikia haya maneno: "Dhambi zenu hata ziwe nyeusi kama ......, damu ya Yesu itazifanya kuwa nyeupe kama theruji".
Jamaa kujiangalia alivyo JARUO, akasepa kiaina kanisani na hakurudi tena na akakimbilia kuwa RASTAMAN.
Mcheck Tosh 1 akiwa kwenye Stage...
Tafadhali mkuu usiache kutujuza nasi bana! ila jamaa kiasi namkubali ideology zake japo inadaiwa alikuwa mtu wa bifu/revenge kiainangoja nimtafute kwenye download labda ntapata nyimbo zote
peter tosh hivi ni kweli huyu jamaa hakuuzulia mazishi ya bob kwa kuamini kwamba rastaman hafi bali anapotea...
Hii siredi imenifanya nipate ganzi ya hatari!
Mkuu Sikonge nashukuru sana kwa clip hiyo ya Andrew Tosh,kweli dogo ni chapa baba yake,sikuwa nafahamu kama Tosh aliacha kizazi,, hii ya chini unasema ni Tosh akiwa stage,,is it? naona kama jamaa tu kaamua kufanya play back,, maana hata kwenye pensi hapo,,Tosh alikuwa na matege flani hivi,, huyu jamaa kama sie!!!
Yaani huyu Tosh1 ni 180degree tofauti na baba yake!
I like "Rumours of War"