Sura si imekuja alivyojuana na wema? Ulimuona kabla hajawa n wema? Usinichefue apa nfyu
Hivi Wema akizidiwa jamaa hawezi kupiga issue kimtindo? Pengine ni kazi yake ingine ya siri!Sura si imekuja alivyojuana na wema? Ulimuona kabla hajawa n wema? Usinichefue apa nfyu
Hivi Wema akizidiwa jamaa hawezi kupiga issue kimtindo? Pengine ni kazi yake ingine ya siri!
Nasikia hua kuna 3some sijui ni kweliii
ndo huyohuyo kavira ila si kweli kama alimfanya mchezo mbaya!alikuwa mtu na boss wake.....dogo anaosha makorongwee kwa style flani ya msofeKavira yule handsome boy? Si niliskia kashamfanya mchezo mbaya petii, alitaka ampe dili gani tena??
Wamuache kina nani?
Na kwani wamemshika Mpaka unasema wamuache?
Hivi sakata la petitman limeishia wapi?
Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke mwingine..
Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..
Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari.
Alisema "Mimi na Wema ni Damu Damu ...ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala